CHADEMA haikushinda imetetea viti

CHADEMA haikushinda imetetea viti

kimbwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
707
Reaction score
213
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
 
ccm kilitumia hela nyingi kwenye huo uchaguzi
kiliwanyanyasa na kuwaua watu kwa sababu waendelee na ufisadi wao Ar
chadema chama kinachopendwa na hamwezi kuwabadili wananchi kamwe
la sivyo tunataka hela zetu zilizofichwa uswiss zirudishwe
tembo waachwe kuuliwa na wanyama wetu waliopelekwa nje ya nchi warudishwe
 
Sawa. CCM ndicho mshindi, sie tutasubiri Sombetini.
 
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.

Bado mnasumbuliwa na mkovu ya kushindwa udiwani arusha eti hiyo ni tisa...kumi subilini tsunami 2015
 
ccm kilitumia hela nyingi kwenye huo uchaguzi
kiliwanyanyasa na kuwaua watu kwa sababu waendelee na ufisadi wao Ar
chadema chama kinachopendwa na hamwezi kuwabadili wananchi kamwe
la sivyo tunataka hela zetu zilizofichwa uswiss zirudishwe
tembo waachwe kuuliwa na wanyama wetu waliopelekwa nje ya nchi warudishwe

Chadema hakiwezi kuwa chama cha mabadiliko, muda ukifika mabadiliko yatafanyika lakini sio na chadema.
 
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
Umeamua kuweka environment ya STP wakati hakuna chochote kilichokuwa constant wakati wa kampeni na hata uchaguzi!
Una wivu mbaya wa kike wewe!
 
Bado Sombetini,muulize CHEMBA kama atapeleka timu uwanjani au atatia mpira kwapani,Magamba lazima mkae.
 
Mbona hadi mwenyekiti wenu wa chama cha magamba alikuja A-city?au mlikuwa mnashindana na jiwe?maneno ya kushindwa-Nape kawaambieni asiyekubali kushindwa si mshindani,kuna kushinda na kushindwa hayo ndo maneno ya busara ya katibu wako muenezi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
siamini kama ccm mmepanic kiasi hichi.

Mkuu

Hawa jamaa hawaja panic ila wako kwenye severe state of panic over weighed by denial.

Tuwakubalie kuwa Chadema haikushinda bali ilitetea kata. Ili kuwapa nafuu ya usingizi tuwakubalie tu. Lakini wakumbuke kuwa chedema ilijizatiti kutetea kata zake na hatimaye ccm wakashindwa kuchukua hata kata moja. Kama hivyo ndivyo ina maana ccm walishindwa mbinu na chadema maana uchaguzi 16 juni 2013 ccm ilinyang'anywa kata zake 3 na chadema baada ya kushindwa kuzitetea kama chadema jinsi ilivyo tetea kata zake 4.

Kama hivyo ndivyo, basi chadema ni imara kwenye kutetea vyake kuliko ccm.

Kwa mantiki hiyo, kati ya chadema na ccm akitafutwa mshindi na mahiri wa kutetea na kushinda chaguzi kwenye kata zilizo kuwa kwenye himaya bila shaka mshindi hawezi kuwa ccm.

Unauma, ni mchungu lakini ndio ukweli.
 
Mkuu

Hawa jamaa hawaja panic ila wako kwenye severe state of panic over weighed by denial.

Tuwakubalie kuwa Chadema haikushinda bali ilitetea kata. Ili kuwapa nafuu ya usingizi tuwakubalie tu. Lakini wakumbuke kuwa chedema ilijizatiti kutetea kata zake na hatimaye ccm wakashindwa kuchukua hata kata moja. Kama hivyo ndivyo ina maana ccm walishindwa mbinu na ccm maana uchaguzi 16 juni 2013 ccm ilinyang'anywa kata zake 3 na chadema baada ya kushindwa kuzitetea kama chadema jinsi ilivyo tetea kata zake 4.

Kama hivyo ndivyo, basi chadema ni imara kwenye kutetea vyake kuliko ccm.

Kwa mantiki hiyo, kati ya chadema na ccm akitafuutwa mshindi na mahiri wa kutetea na kushinda chaguzi kwenye kata zilizo kuwa kwenye himaya bila shaka mshindi hawezi kuwa ccm.

Unauma, ni mchungu lakini ndio ukweli.

well said mkuu, huu ni ukweli mchungu mno kwa magamba wote.
 
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.

Upuuzi huu kwanini Magamba walisimamisha wagombea?
 
kwa hiyo CCM haikushindana kwenye huo uchaguzi...ilikuwepo CDM peke yake...sio..?
 
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
samahani ndugu hivi nyie ccm baadhi yenu ni vichaa au mnajitia wazimu maksudi? watu wanashindania kitu alafu mmoja anapata wengine wanashindwa kukipata matokeo yake wanapatikana walioshindwa ila anakosekana alieshinda.. embu jaribu kutumia ubongo hata kidogo, kama umeshindwa tafuta uzi wa nape baada ya matokeo kutangazwa alisema nn.
 
Back
Top Bottom