chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
Aaaa!Kumbe hata dhaifu hakushinda 2010,alitetea tu kiti chake eee!