CHADEMA Haiko na Raila, please...

Hii barua ya kutengeneza tu. Tangu mwanzo mliandika wenyewe CHADEMA(RAILA) vs CCM(UHURU) yamewafika shingoni sasa, haya ogeleeni tuone kama mtafika ng'anmbo

Ni kweli imetengenezwa na chama cha ORANGE DEMOCRATIC MOVEMENT chini ya RAILA ODINGA.
 
Umeongea 'pwenti' sana kwenye bandiko lako ila hapo kwenye red naomba nikubishie kwa nguvu zangu zote Sir!

nimekusoma mkuu, ungeniuliza tu, hizo hatua ni za mtu, tembo, mende, tandu au mjusi??
 
jamani watanzania waacheni wakenya wakanyagane wenyewe kisiasa.mbona wao wana'mute mambo sisi yakitufikia shingoni?media zao zinatangaza mambo yao 2 sisi kimbelembele cha nini?mwishowe watatuoa
 
Mkuu wangu Safari_ni_Safari,
Ni Wana-CHADEMA wenzako ndio walioleta hapa habari za ushoga uliopo kati ya CHADEMA na ODM! Au unataka kuniambia hukuiona ile thread ya Yericko Nyerere?! Au leo hii Odinga mnamkana baada ya kuona karata zake haziendi vizuri?!
 
Atongole kwa hyo wenye uwe mkubwa ndo wezi/mafisadi?We una posho ucjal,lakn nAfkr kuwa huu ujinga kam wako na ccm unafaida ndo mana.
 
Eti memkana kweupe, kweli rafik mzazi wako,mwengine yeyote atakusaliti.
 
Inauma lakini ndo ukweli, Raila kushindwa kwake katika mazingira ambayo Chadema wamepeleka msaada wote mpaka wa magari, mkakati na misaada mingine kibao....kama alivyoshindwa Raila kipigo cha mbwa mwizi kinaisubiri Chadema 2015!! Nadhani mmejifunza karata za kisiasa si vile unavyojisikia bali ni ukweli wa uwanjani.....

RA naye kakimbia Tanzania Kenya kaangukia kwa Raila.....naamini sasa anaumwa....uhurumkafanya kweli,,,...wa kenya wamekataa kuamuliwa mambo yao na nchi za magharibi na ndivyo watanzania watakavyo waadhibu vibaraka wa magharibi hapa nyumbani.....
 
Umelewa asubuhi bila kunywa pombe wala madawa ya kulewa, sasa basi ni nini?
 
Unapingana na Mbowe na Dr Slaa wewe lazima utakuwa masalia.
 
Umelewa asubuhi bila kunywa pombe wala madawa ya kulewa, sasa basi ni nini?

Amewahi leo Lumumba pale.. Sio kosa lake.. Ni sawa na dereva mwenye heshima zake ukampe daladala aendeshe.. Atakuwa chizi... Ndo sawa na kuwa Lumumba pale..
 

Hivi si ni muda wa Kwenda Kazini? kwa staili hii ni lazima Tuwe masikini milele, kama muda wakujiandaa na kazi bado mtu unakaa kuandika Porojo ni hatali sana kwa Taifa, au ndo Ulikuwa shift ya Usiku huko Lumumba?
 
mambo si yapo hadharani kama cdm haipo na Raila inaonekana wazi!!!
 


 

Haikatazwi individual kuwa na msimamo wake katika hili.........hoja yangu ni MaCCM kutaka hoja ya YERICKO kuwa ya kichama na si ya binafsi....Raila huyuhuyu alipokuja Tanzania akiwa Waziri wa Moi alikataa katakata kukutana na wapinzani akidai yeye yuko katika serikali na amekuja kama mgeni wa serikali......na ndipo alipoanzisha rasmi urafiki na Magufuli......sasa leo iweje ahusishwe na CHADEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…