CHADEMA Haiko na Raila, please...

Wewe ivi wadhan sie bado ni Mbulula km maCCM? wadhani wakati magufuli alvoenda kt kampeni za odinga akiiwakilisha CCM hatukufahamu? au wataka ushahidi wa picha akijitambulisha mbele jukwaani, CCM NA KIFO NI CHANDA NA PETE. IMEKULA KWENU MACCM

hahahaaaaaa. MAGUFULI ni rafiki wa Odinga, wamesoma pamoja na wanashirikiana hata katika masuala mengi ya kijamii. ilishangaza tu kwa CHADEMA kuibuka na madai kuwa wanamsupport Odinga siku chache tu kabla ya uchaguzi. si ulofa huo?
 
Chadema kweli utoto umewazidi juzi wameenda kumpigia campaign Odinga na mkajinadi eti Odinga ni Chadema sasa hivi mnaanza kuwashwawashwa tena

CCM KWELI WATOTO MLIMTUMA MAGUFULI AKIWAKILISHE CHAMA LEO MNAHISI NANII ZNAPIGA CHPI NA KURUDI Eeh? NYIE C RAFIKI WA KWELI, ZAMENI NAE TU JALUO
 
ODM = Chungwa, Maisha Bora
CCM = Maisha Bora kwa kila.......
Go Uhuru Go...... God is Liberty!
 
Naona kuna upotoshaji mkubwa sana wa baadhi ya members humu JF........THIS IS FOR THE RECORD!


Ndo mjue kuwa CHADEMA ni chama cha kikabila, wamememuunga mkono mtu anaendeleza ukabila kama wao sasa wanamuona mzigo

Angalia hata michango inakwenda kikabila, soma hii


JALUO.COM

Date: Fri, 19 Jan 2007 17:09:40 -0800 (PST)
From: ndebele okoth revgeorgeoo@ . . .

Subject: Kalonzo verses Raila Fundraising diaspora clashes, Mr Obell ODM-K USA (Raila) and Mr Onwonga (Kalonzo)

To: Raila Odinga raila@ . . .

Dear Hon Raila Odinga.

This follows my recent allegations of Mr Dave Arunga fundraising scam here in diaspora and at home, which contained his miscalculated political moves in mobilizing support for your ODM-K Presidential nomination. Mr Joshua Obell has persistently refused to recognize the damaged he is causing to your bid by his continued push to use ODM-K USA for your fundraising against the normal political procedures.

I have hereby attached, 2 separate fundraising schemes. The first one is of Hon. Kalonzo, your fellow aspirant fundraising campaign appeal, which is wisely designed to appeal for his supporters directly to him. The other is Mr Orunga and Mr Obell fundraising scam maintained stand as stated in Mr Obell email attached below.

I strongly believe that CDM-K USA is wide scheme of Kibaki's intelligence abroad sponsored by the Kenyan Embassy in Washington DC, to create destructive and divisive evidence against you and other ODM-K Presidential aspirants.

If the situation is not arrested now,then Mr Arunga and Mr Obell will be responsible for messing up your cause, as it stand now these 2 are working for your downfall and obviously agents of Kibaki's government at work. It is upon you to act on this information to stregnthen sets of lobby groups which are directly related to you, such as Raila007 USA led by Dr George Omburo, Dr Ayaga, Mr Omollo Odhaimbo, Dick Otuama and many other volunteering group across Kenya and diaspora.




Dear Fellow Kenyans & Friends: We wish to cordially invite you to a Fundraiser Dinner for The Honorable Kalonzo Musyoka, the Member of Parliament for Mwingi North in Kenya and a leading contender for the Presidency in the 2007 general and presidential elections under ODM-Kenya Party.

Hon. Musyoka has been a major political force in the Kenyan landscape for over twenty years. He has held various ministerial appointments in the KANU and Narc governments including, Education, Foreign Affairs and Environment. Hon. Musyoka has also been involved in various international activities including the promotion of peace and justice and the fight against poverty. In 2005, he founded a non-profit, the Kalonzo Musyoka Foundation to continue with the promotion of these virtues.

On December 11,, 2006, Hon. Musyoka officially announced his intention to run for the presidency and launched his vision for Kenya. He would like to meet with Kenyans and friends in the USA and talk about what he plans to do as the president of Kenya. You will also have an opportunity to share a meal with him and support his campaign. Please join us in welcoming the Hon. Musyoka to the Washington, DC Metropolitan area.

For more details on the Kalonzo Musyoka Presidential Campaign, please visit: kalonzomusyokaforpresident.com: The Leading K Alonzo Musyoka for President Site on the Net

Further information can be obtained from the organizing committee:
Anderea Onwonga 301-346-7643 or aonwonga at hotmail dot KOM
Somba Ndeti 202-359-4296 or sndeti At tlbinc doT net
Dr. Reuben Marwanga 240-643-5696 or rmarwanga aT marwanga dOT coM
Vincent Ngeno 301-792-4696 or Chamyet2 AT hotmail DoT Com

Venue: Tabeer Restaurant Events Hall
International Mall
1401 University Boulevard
Langley Park, MD 20783
Date: February 2, 2007
Time: 7:00 PM.

Payment: $100 per person (Make Checks payable to Kalonzo Musyoka for President). Send Checks to the Treasurer at the following address to reach by January 30, 2007:

Somba Ndeti
13201 Trumpet Place
Silver Spring, Maryland 20904
See you there!
Anderea Onwonga
Coordinator


Subject: Jakom kod Kaula
Date: Thu, 18 Jan 2007 08:05:13 -0700
From: "Obell Nyanja"
To: "Tom Mucha"'

Peter Kaula oromo kod Jakom sani Nairobi ma Jakom onyise ni ODM-K USA nyaka bed mbele ne Raila2007. Owacho ni jo Raila2007 go mana koko to kata mana nduru pok oneno ma oa kuom gi. Mano bende nyalo nyisou ni pesa is key omiyo harambee ma Feb 10 nyaka wane ni obedo very successful. Dave Arunga kod Opondo bende Kaula owuoyo godo mondo nyisgi maler ni jo Jakom duto ni e ODM-K USA kendo biro tiyo matek kabisa ne Jakom. Nyaka wa popularize ODM-K USA kabisa to pesa bende wachoko to wamiyo mana Jakom directly kata mana bang' nomination. Seche duto ma wayudo thuolo mar wuoyo kod Jakom nyaka wa stress ODM-K USA kabisa.

Ma en update maber. Wadhi uru mana nyime. Sani koro wawe uru gwandruok kod joka, wachak mana tij ODM-K USA. Watni kata osiep mana kamoro amora in USA nyise odonj e ODM-K USA

-- Obell


=====================================================


Joluo.com

Ka in gi mari moro ma di wandik ka to orni
Akelo nyar Kager, jaluo@jaluo.com Daher winjo dwondi in bende, iwinjo?
 

  1. Wewe sijui wa zama zipi.......umekariri kuwa lazima barua iwe na kumbukumbu namba wakati si kweli
  2. Halafu lazima uelewe kuwa dunia ya leo mwaliko wa siku mbili kabla ya shughuli bado ni muda mrefu sana. Umekariri urasimu kuwa barua mpaka ipite channels kibao kama mfanyavyo CCM
  3. Naomba nikuulize je Magufuli alienda au hakwenda kwenye huo mkutano?
  4. Hebu on abarua hii ya White house na uniambie hayo mareference numbers yako kama yapo

​
 

Hebu nionyeshe reference number hapa iko wapi?

 
Kwani kuna lipi la ajabu Cdm wakimsapot Raila?.

hakuna la ajabu isipokuwa tunawashangaa tu wanapotumia muda mwingi kujivua aibu waliyoibeba. yaani hawa wanashangaza kweli, kila kitu kizuri ni chao na kibaya ni cha ccm. subiri IEBC itangaze kuwa Raila ameshinda, utawaona hawahawa wanaomkataa leo wakijisifu eti ameshinda kwa support yao
 
Watanzania tuko kama vinyonga kwa maana nyingine ni ndumila kuwili (fickle), wabinafsi (selfish) na vimbelembele au vizabina zabina (poke around). Hatujui hata mara nyingi matokeo ya lile tunalolitenda.

Hao hao waliokuwa wako mbele kukumbatia hata mpaka kutoa misaada ya hali na mali kwa Orange Democratic Movement (ODM) ndiyo hao hao bila hata kuficha hata nyuso zao watakuwa wa kwanza ku-dissociate kwa vile tu kwa ujinga wao, nyama waliyokuwa wanadhani haijaoza kumbe ilikuwa tayari imeshaanza hata kunuka.

Siyo hata ajabu kwa Watanzania kukuta mwizi anakamatwa na hard evidence lakini bado akawa na nguvu za kukanusha.

Unapokuwa na habari kama hii na bado unakanusha, sijui ni kuwafanya watu kama ni wajinga au ni wewe kutokujua kama ni mjinga.

CHADEMA waliyavulia maji nguo kinawasibu nini kwa sasa kuyaoga!.

ONLY IN TANZANIA.

Chadema yambeba Odinga

 

DUH WEWE NI KM MAMA POROJO VILE, KELELE NYINGI BILA USHAHIDI, SKU NYINGINE TUTAKUNYOA NYUSI ILI UFANANE VIZURi NA WAMBEA
 
Hebu nionyeshe reference number hapa iko wapi?


CHADEMA bwana mbona mambumbumbu wengi? hivi hiyo nayo ni barua? hivi unazijua contents za barua especially official letters? au kiingereza kimekuchanganya na hujui walikuwa wanaelezea nini kwenye hicho kimemo. halafu angalia hicho kimemo kimeandikwa lini? acha upuuzi huo. CHADEMA imekula kwenu. mnachokoza mada wakati hamna uwezo wa kuitetea
 
Mbona mnabishanis mambo ya kipumbavu, masuala ya kenya yanawasaidia nini nyinyi kama watanzania?
 
Hata zamani zile 60% za Ndalichako zilikuwepo tofauti yake mlianza kupewa majibu kabla ya Maswali ndicho kilichowaokoa! Hii barua inaonesha mwaliko kwa Magufuli na CCM haiondoi uwezekano kuwa hata Chadema waliandikiwa, Ina maana Mbowe alijipeleka kwa Raila bila ya Kualikwa kwenye zile kampeni?
 
Either Raila or Kenyata inatusaidia nini sisi!They are for Kenyans!Tuongeleeni yetu na matatizo yetu.
 
CCM hawataki mtu anayekufa kisiasa wakati chenyewe ni mfu!!!!! wanamtaka Uhuru Kenyata wakati hamna kiongozi wa mwenye umri na uwezo kama yeye

Tena uchaguzi wa kenya umekuwa ni funzo sana kwa CHADEMA na utazidi kukijenga CCM, Chadema huwa wanadhani uhesabujiw wa kura kawaida ni hujuma, haya sasa wameenda Kenya wakiamini matumizi ya technolojia ni mwarobaini, Mungu siyo athumani ameruhusu technolojia imefanyakazi kwanza na baadaye kugoma, kurudia kwenye kawaida bado hakuna mabadiliko matokeo yamebaki vile vile, wamebaki midomo wazi, CCM bwana, noomaaaaa.
 
CHADEMA bana, si mligongeana like kwamba nyie ni supporters wa Raila? Naona kila mtu ni msemaji wa chama.
 

Waandaye maandamano kumsaidia ODINGA kupinga matokeo , maji wakiyavulia nguo hawana budi wayaoge.
 
Mbona nimekuambia hiyo si baria ni memo? au hata memo hujui maana yake.Hayo ni mawasiliano ndani ya organization moja.

Halafu kuhusu muda kuwa mfupi hilo ni sahihi kabisa. kwani katika barua za mialiko, kuna arrangements nyingi zinatakiwa kufanyika.

kwanza kujua watu wangapi watakuja. kwa maana unapotoa barua ya mwaliko utahitaji confirmation ya yule unayemuandikia.

CHADEMA bwana? unataka tuanze kutoa darasa la jinsi mialiko inavyokuwa? akisha conferm lazima ujue anakuja lini, wanakuja wangapi, atatumia usafiri gani, atafikia wapi na mambo mengine chungu nzima ikiwa ni pamoja na kuhakikisha usalama wao.

kumbuka hapo unawaalika viongozi wa chama ambapo kwa CCM mwenyekiti wake kwa sasa ni Rais wa nchi. hivyo si rahisi na nyepesi kama unavyofikiria. au umezoea mialiko ya maandamano?

.......
 

Na hii? Halafu punguza hasira unapojibu hoja.......haikusaidii hata kidogo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…