CHADEMA haifai kuwa ni Chama Cha Siasa

CHADEMA NI WEHU. kwanza huyo Slaa mwenyewe ana hasira kama nini. hivi yule angechukua urais si kuna siku watu tungechapwa viboko nchi nzima. kwanza hajui mahusiano na watu.

Tunataka rais kama Slaa sio JK wenu wa kuchekacheka kama anatekenywa, hata katika mambo mazito anajichekesha chekesha. Kama wewe ni muovu lazima utamuogopa Slaa.
 
CHADEMA - CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hata kama kingekuwa sio chama cha wachaga,walichemsha kwa Padri Slaa.Alilisaliti kanisa,akaiba mke wa mtu,ana hasira,ni msema hovyo.hafaiiiii

umejiunga leo 27th Nov. 2010!
 
Paty yuko sahihi kwa kuonyesha how stupid she/he is kama alivyomaliza na sentensi yake!
 
Chadema ndilo tumaini pekee lililobakia katika siasa za Tanzania, hasa baada ya CUF kufungishwa ndoa ya mkeka kwa mume jeuri CCM.
 
Mimi si mchaga lakini kwa yeyote anayeona CDM ni chama cha kichaga ni lazima atakuwa mpumbavu na mkabila. Nasema mpumbavu na mkabila kwa sababu hawezi kuona beyond kuwa CDM inaongelea nini kuhusu mstakabali wa taifa bali atakuwa anaona ukabila!

Nafikiri mtu wa aina hiyo atakuwa anapata tabu kujua kwamba mkoa wa Kilimanjaro by any standard za kimaendeleo uko juu ukilinganisha na mikoa mingine vile vile ktk fursa nyingi serikalini na ktk asasi binafsi kuna wachaga wengi tu wameenea.

Mimi napenda kuamini kuwa ajenda ya ukabili/udini imeletwa na watu wenye tamaa ya madaraka wasiotaka kuona mabadiliko ambao wako tayari kubaki madarakani anyhow ikiwa ni pamoja na kueneza hisia za ukabila.
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

I am even sorry that people were willing to respond to your lunatic comments; even an insane person is able to tell the difference between CDM policies and those of CCM; CCM is full of selfish leaders who have robbed Tanzanians, including you because if they had given you something, you will be able to know that these crooks are leading us to sheol. The fact that you cannot see the reality of our country, and you only see the external attire of CDM, it clearly shows you that you are to be pitied more than anything despicable thing that I have ever known...I am so sorry for you
 
CHADEMA si kama CUF kwamba watanunuliwa kwa Tende na Alua. Chadema ni nguvu ya Umma na wakati unakaribia.
kajifunze kiswahili kwanza ndio nawewe uongee mbeleza watu,ktk kamusi yakiswahili hakuna neno ALUA,
 
CHADEMA - CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hata kama kingekuwa sio chama cha wachaga,walichemsha kwa Padri Slaa.Alilisaliti kanisa,akaiba mke wa mtu,ana hasira,ni msema hovyo.hafaiiiii
Corrections, the Chaggas are already developed and they don't need any manifesto for that, the chaggas and countless other tanzanians are pained by mafisadi's , the fact thatt CCM imemkumbatia Kagoda ,meremeta, guys we wouldn't have known all ths hasn't DR Slaa come forth with it, as regards to mke wa mtu, that is so weak and u know it!let everyone mwenye mapenzi mema be awakened from ths long stupor, na CUF u have never bn the opposn and u can never give us UK's party alliances in a third world, use real life (african ) for us...and DR pls come forth with lile tamko
 
kajifunze kiswahili kwanza ndio nawewe uongee mbeleza watu,ktk kamusi yakiswahili hakuna neno ALUA,
Poor Mwera 'majua tende na halua ? Meshaonja tende na halua ?' Znz wanamapinduzi wamepoozwa na madaraka,maalim full kipupwe mnaona mnao muafaka, actually one man being vying to be a president for 2decades and lose...hamjajifunza ?? THE BIGGEST losers mnapoozwa kwa kupokwa haki yenu kuunda baraza mzigo kwa wananchi
 
Chadema ndilo tumaini pekee lililobakia katika siasa za Tanzania, hasa baada ya CUF kufungishwa ndoa ya mkeka kwa mume jeuri CCM.
Hapa umenena!naomba sana Dr Slaa ajipange kuna mkakati wa kuiharibu sifa njema CDM iliyojiwekea kwa wajanja wachache, tulieni na endesheni halmashauri kuwa za mifano...pamoja sana
 
Huyu kwa namna moja atakuwa anafaidika na matone ya ufisadi ulioimaliza nchi, ukiwa na akili zako timamu huwezi kuzungumza upuuzi kama huo. Sijui kama anafamilia na watoto huyu. Hivi huko kwa Shibuda nako na Kilimanjaro, huko Ukerewe nako na Marangu, Hivi Tunduma napo wanaishi wachanga, hivi Mbeya mjini siku hizi panaitwa Hai? Unajua kama huna hoja ya msingi bora uwapigie hadithi watoto wako jinsi ufasi ulivyokutajirisha, usilete hoja za kipuuzi humu.
 
Katika kitu nilichojifunza uchaguzi huu ni akili za matope za baadhi ya watanzania hususani CCM, wanajaribu kupewa mbinu za kuvuka daraja moja kwenda jingine la maisha ya kujitegemea katika ujenzi kusoma bure wakielimishwa kuwa hii hali inawezekana kabisa katika karne hii na nchi yenye rasilimali za kutosha watoto wakafaidika na elimu ya bure. Ajabu anasimama kiongozi kama Kikwete anasema haiwezekani nyinyi wananchi mjenge nyumba zenu wala kusomesha watoto wenu bure, angalia mazuzu aliyosema Mwl Nyerere yanashangilia na kurusha mikono hewani haiwezekanii hawana hoja hao ya kutusomesha bure, hao ndio Wadanganyika. Unadhani ukimwambia kitu kingine cha maendeleo atakuelewa?

Kama amegoma kujengewa mazingira ya kujenga nyumba yake ya kisasa na kusomesha mtoto wake shule anakataa anakuambia haiwezekani tena anamtetea huyo anayekuja kumkandaminiza unategemea nini.

Tunapaswa tujiulize alichokisema Dk. Slaa kuhusu makazi ni hoja ya kweli angalia juzi Naibu Waziri Nyarandu ametangaza kampeni ya kutokomeza nyumba za Tembe huko kwao Singida kwani si ndio alichohubiri Dk. Slaa?

Mazuzu bwana bado yapo mpaka leo.
 
Vyama vyote vya upinzani TZ, ni matawi ya CCM. Hawa wote marais Wannabe, walianzia CCM halafu wakahamia ktk vyama vya upinzani.

The way I understanding, TZ politicians are JOKES, THIEVES, and CORRUPT.
 
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.

Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.

Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.

Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.

Define Amani na Utulivu
 
Una akili chafu na maarifa yamekupiga chenga kama kweli wewe ni mzalendo halisi utajipanga kwa hoja na sio kwenda msituni unaenda msituni kufanya nini wakati ushindi ulikuwa wa wazi watu wanatakiwa kudai ushindi mchana kweupe na sio kiwoga na kukimbilia msituni
MTAJI WA CHADEMA NI WATU WALIOKO MITAANI NA SIYO MSITUNI

Treat others as you would like to be treated!
 
Nilikuwa najaribu kusoma hizi post zilizoandikwa, na nimegundua kwamba kuna watu wana jazba kubwa ya kutaka Dr. Slaa awe Rais. Vilevile nimegundua kwamba Chadema ni chama cha watu fulani ambao wapo ktk siasa kwa ajili ya manufaa yao na siyo nchi.
Like I said, All TZ politicians are JOKES, CORRUPT, THIEVES, and LIERS.
 
Back
Top Bottom