Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Katika red, ya kwanza inadhihirisha wazi kuwa wewe ni mtaji mkubwa wa CCM, na hivyo kufanya kazi ya kuikomboa Tanzania kuwa si rahisi...! Lakini pia kwa kuwa umeonesha mwenyewe kuwa unjitambua kuwa hivyo, na kwa jinsi ninavyojua ilivyo kazi ngumu kumwelewesha asiyetaka kuelewa, basi sina muda wa kubishana nawe maana ni sawa na kupoteza muda....!Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
ra mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
nje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
CHADEMA NI WEHU. kwanza huyo Slaa mwenyewe ana hasira kama nini. hivi yule angechukua urais si kuna siku watu tungechapwa viboko nchi nzima. kwanza hajui mahusiano na watu.

Baada yakusoma hiyo red nimeona hakuna haja yakujadili lolote usemalo. KwaheriKusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Umeanza kauli yako katika hali ya kuonyesha unajali sana amani ya nchi, lakini umemalizia na uchochezi mkubwa wa kuitaka CHADEMA iingie mstuni, ikienda huko msituni itakuwa inampiga risasi nani? Kikwete au wananchi wa kawaida wasio na hatia? Mbona uwezo wetu wa kufikiria wakati mwingine unakuwa na utata kiasi hiki? Mtaji wa CHADEMA ni wananchi maskini ambao ndiyo wapiga kura, sasa kikiingia msituni kuwapiga risasi kitaungwa mkono na nani?Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Dr.Slaa anahasira na wewe ambae bado unalalia Kitanda cha TEMBE na Choo Cha Passportsize! Amka CHADEMA :whoo:
Propaganda za kijinga kabisa na zilizopitwa na wakati kaa endekeza mambo ya ukabila na kidini ukidhani ndio maendeleo ya nchi we mpuuzi kabisa hakuna atakeyedanganyika CDM ni chama cha wananchi ngoja kidogo utaona cheche zake muda si mrefuCHADEMA - CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hata kama kingekuwa sio chama cha wachaga,walichemsha kwa Padri Slaa.Alilisaliti kanisa,akaiba mke wa mtu,ana hasira,ni msema hovyo.hafaiiiii
Ndallo,
Ni kweli hujakosea. Slaa hawezi kucheka wakati ndugu zake miaka 50 baada ya uhuru wanalilia ngozi wakati wachakachuaji wanalalia vono na wanaishi kwenye maghorofa bei mbaya kwa fedha za kiufisadi na uwizi. slaa hawezi kucheka wakati wananchi walio wengi wanaishi hawana uhakika wa mlo wao wa siku. Anayecheka ni yule tu anayesaza bila kugharimia kwa jasho lako au ananufaika kwa migongo ya Mafisadi na mfumo mbovu. Slaa hawezi kucheka wakati kwa dhahiri kabisa wachakachuaji kwa makusudi wanapiga mabomu wananchi wake wanaotaka kuchagua viongozi wao kidemokrasia kama inavyotokea jana na leo kule Buseresere Chato na kwingineko kunakofanyika kesho uchaguzi wa Madiwani, uchaguzi ambao hata sababu za kuahirishwa ni kiinimacho. Anayechekelea hali hiyo ni yule ambaye ni mbumbumbu na shabiki tu wa mambo asiyejua kinachoendelea katika nchi yake au kwa makusudi tu kwa sababu ya kiushabiki au kiulaji hataki kuelewa kuwa mambo siyo sawa. Ningeweza kuendelea zaidi na zaidi. Tucheke panapostahili kucheka, tufurahi palipo na sababu ya kufurahi. Lakini tuwe na "Hasira kali" kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu. Ukombozi kwa dhana yake ni lazima uendane na hasira isipokuwa kwa wale wasiojua maana ya ukombozi au mchakato wa ukombozi. Hao ni wa kusamehewa bure wala msiwatukane kwa sababu tunawajibu wa kuwakomboa na wao pia.