Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,772
- 2,887
Polisi si ndiyo waliwakamata ulitaka aulizwe nani sasa?Maswali ya kuwauliza wake zao mnawauliza polisi kweli? Sasa polisi watajuaje walipo watu wazima na akili zao
Yaani hilo lijamaa linajitoa ufahamu .Polisi si ndiyo waliwakamata ulitaka aulizwe nani sasa?
Kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuchanganua mamboYaani hilo lijamaa linajitoa ufahamu .
Watu wamechukuliwa na Polisi na tukio jinsi walivyochukuliwa yamerekodiwa.
Sasa utamuuliza nani zaidi ya hao polisi waliowachukua
We nyau jitokeze usisubiri watu, watanzania wana akili wanachofanya hao nyumbu ni kutest mitambo kujua km wanaweza kuiangusha serikali, hao ni wahaini wawekwe kizuizini. Km una hao wa kuandamana kuiangusha serikali jitokezeni msijifiche nyuma ya keyboardMkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;
"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya Fire na Salenda walipokuwa wakielekea mahakamani—na tangu hapo wamepotea bila maelezo yoyote.
Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi
Tunataka majibu sasa hivi: YUKO WAPI KATIBU MKUU,YUKO WAPI MAKAMU MWENYEKITI? Acheni kugeuza Jeshi la Polisi kuwa chombo cha utekaji, mateso na uonevu wa kisiasa.
Huu ni mchepuko hatari kuelekea utawala wa kiimla!Wanaotumia nguvu dhidi ya haki leo, wasahau amani kesho—nguvu ya wananchi huwa haijawahi kushindwa.MWISHO WA YOTE, TUTASHINDA."
View attachment 3314292
Ahsante umesaidia ila hao ni nyumbu sidhani km watakuelewaMaswali ya kuwauliza wake zao mnawauliza polisi kweli? Sasa polisi watajuaje walipo watu wazima na akili zao
Hujui kituo cha polisi?Polisi si ndiyo waliwakamata ulitaka aulizwe nani sasa?
Uhai ni zawadi ya Mungu kila mtu ana wajibu wa kuilinda kwa gharama yoyote hata kama unapishana nao kiitikadi husifurahi wenzako wanapokutwa na madhila mbalimbali,Maswali ya kuwauliza wake zao mnawauliza polisi kweli? Sasa polisi watajuaje walipo watu wazima na akili zao
Ustaarabu umeanza lini au mabaya yakiwapata watu wa upande mmoja tu ndo ustaarabu unatakiwa ila wakifa wa upande mwingine ruksa kufanya sherehe?Uhai ni zawadi ya Mungu kila mtu ana wajibu wa kuilinda kwa gharama yoyote hata kama unapishana nao kiitikadi husifurahi wenzako wanapokutwa na madhila mbalimbali,
Tuna wajibu wakuonyana bila kudhihakiana, ulipaswa kumjibu kistarabu tu na kwa unyenyekevu kwamba ni vema akaripoti Polisi.
Asante unaweza endelea kwa jinsi huonavyo vyema nafsini mwakoUstaarabu umeanza lini au mabaya yakiwapata watu wa upande mmoja tu ndo ustaarabu unatakiwa ila wakifa wa upande mwingine ruksa kufanya sherehe?
Leo narudia tena; nikiangalia safu hii ya uongozi ya chadema pale juu, lofa na mshamba pale ni lissu tu hawa kina mnyika na heche ni wajanja wajanja flani.Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;