CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Very true
 
Duh!!! ndugu yangu, una wivu hadi unashidwa kujizuia? Wewe huna nyumba ya kuzindua wala chama cha kuimarisha, utawazodoaje walio na uwezo wa kujenga maghorofa na bado wanao uwezo wa kufadhili na kuendesha chama kwa ufanisi? Wivu tu!!
 
Dah! Mwanangu sasa mtu usifurahie mafanikio ya mwenzako? Acha uchawi bro. Hata kama hela zilizotumika ni michango ya Join The Chain lakini angalau zimetumika ndani ya nchi kuliko kwenda kuzificha New Jersey kama mzee wa vijisenti. Hilo jengo lina faida kwa nchi kwa kodi zitakazolipwa pamoja na bills zingine. Isitoshe kuna watu wataajiriwa kwenye hilo jumba kama gardeners, maids na wengine. Mimi ninampongeza Boniyai kwa kutumia vizuri mgawo wake wa michango ya Join The Chain.
Hahaha pamoja na mgao wa ruzuku
 
Naunga mkono hoja yako kuwapinga wezi wa mali za umma ila pia tusisahau wizi wa michango ya Join The Chain huko CHADEMA. Yaani chama kinachoiba hadi michango ya wanachama wake ni hatari kushika dola. TANU ingetafuna michango ya wananchi tungechelewa kupata uhuru.
Arusha CCM iliiba michango ya marehemu watoto wa shule ikajidai eti watajenga hospitali, mpaka leo hakuna cha hospitali. Bukoba baada ya kuiba michango ya waliopatwa na tetemeko la ardhi, Magufuli akabwata eti kwani yeye ndiye alileta tetemeko! Mpaka leo kuna watu hawajaweza kujenga nyumba zao.
Mnaiba ng'ombe huyu akiiba yai mnaona kaiba sana!
 
Uhuru wa Tanzania bila hata chama ungepatikana. Ilikuwa inasubiriwa tu mtu anayejua kiingereza ndio apewe nchi. Alipojitokeza Nyerere akapewa.
 
Arusha CCM iliiba michango ya marehemu watoto wa shule ikajidai eti watajenga hospitali, mpaka leo hakuna cha hospitali. Bukoba baada ya kuiba michango ya waliopatwa na tetemeko la ardhi, Magufuli akabwata eti kwani yeye ndiye alileta tetemeko! Mpaka leo kuna watu hawajaweza kujenga nyumba zao.
Mnaiba ng'ombe huyu akiiba yai mnaona kaiba sana!
Kwahiyo CHADEMA ni CCM B?
 
Naunga mkono hoja yako kuwapinga wezi wa mali za umma ila pia tusisahau wizi wa michango ya Join The Chain huko CHADEMA. Yaani chama kinachoiba hadi michango ya wanachama wake ni hatari kushika dola. TANU ingetafuna michango ya wananchi tungechelewa kupata uhuru.
Hahaha ni kweli hapo tumepiga kwenye mshono kabisa
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Meya Jackob aliingia katika nafasi hiyo pale ubungo akiwa hohe hahe, ametoka bilionea
 
Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha.

Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza kuonesha alichonacho, haina faida yoyote kwa Mtanzania.

Nafikiri nguvu kubwa mnayoitumia kusifia majumba yenu elekezeni kwenye kuimarisha chama chenu! Hamuoni kinakufa? Hizo nyumba wangeposti watu wa CCM mngekuja hapa kama vifaru waliotafuta milungi kudai ni mafisadi.

jengeni chama saa mbaya hizi!
Uwe na akili za mwanadamu. Wapi chadema kama chama wameshangilia ghorofa? All in all, It is non of your bussiness, inakuhusu nini?
 
Back
Top Bottom