CHADEMA: Embodying Perennial Courage and Indelible Political Legacy Amidst Tyranny

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
519
Reaction score
1,463
CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife.

CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara kisiasa? Ni psychological arrogance gani hii?

Hii ni woga uliofichwa kwa nguvu na repression. CCM, mnajua kwamba kila attack yenu, kila trick yenu, inatokana na fear na insecurity. Mnadhani leadership yenu inaweza ku-override historical justice?

CHADEMA ni movement ya people, siyo group ya majina tu. Hii ideology ni collective consciousness ya wananchi waliochoka na corruption na ujinga. Even kama watu wote wangehama, spirit ya CHADEMA ingedumu!

CCM, history itawahukumu. Mnadhani silence ya wananchi ni weakness? Mnadhani unaccountability yenu itakaa? Wallah, blood, struggle, na courage ya CHADEMA haitasahaulika!

20250904_083708.jpg
 
#CHADEMA #Kishujaa #CCMUjinga #JusticeForTanzania
Nenda kasome historia ya NCCR ya Mrema Lyatonga, Mabere Marando na Masumbuko Lyamwai.

Hicho kitu unachotaka kutushawishi hakiwezekaniki. CHADEMA imekuwa overtaken na events. Mwaka 2030 kutakuwa na different landscape, nyinyi nendeni makaanue matanga tu
 
Na hajaja kushawishi wajinga wa ccm wanaoamini bila ccm eti nchi itaingia vita bila kujali matatizo yaliyosababishwa na wahuni wa ccm na umasikini wa kupindukia kwa wananchi

Na ndiyo maana wajinga wanaendelea kudumisha fikra mfu kwa hofu za kijinga
 
Unaweza kundanganya watu wote ila huwezi kuwandanya kwa mara zote
 
Nenda kasome historia ya NCCR ya Mrema Lyatonga, Mabere Marando na Masumbuko Lyamwai.

Hicho kitu unachotaka kutushawishi hakiwezekaniki. CHADEMA imekuwa overtaken na events. Mwaka 2030 kutakuwa na different landscape, nyinyi nendeni makaanue matanga tu
Haya ni matamanio ya kila mwanaccm, ila uhalisia umekataa kabisa.
 
Uko sahihi, na msisimko duni kwenye kampeni hizi ni ishara ya spirit ya cdm.
Mwisho wa Uchaguzi Mkuu CCM itaibuka kidedea na mtabaki kuloloma miaka mingine mitano hadi 2030. Na mwaka huo mkizibaa tena mnaenda hadi 2035! CCM haipoi!!!
 
Nenda kasome historia ya NCCR ya Mrema Lyatonga, Mabere Marando na Masumbuko Lyamwai.

Hicho kitu unachotaka kutushawishi hakiwezekaniki. CHADEMA imekuwa overtaken na events. Mwaka 2030 kutakuwa na different landscape, nyinyi nendeni makaanue matanga tu
Wacha we .... naona pesa ya ABDUL inafanya kazi haswa
umekubali kujingishwa na Kuviza ubongo wako ili upate mgao wako
wakati wa mrema na mabere kulikuwa na graduate wangapi wasiokuwa na kazi mtaani na sasa wapo wangapi?
wakati huo gharama za matibabu zilikuwaje pale muhimbili/mloganzila na sasa zipoje?
 
Na hajaja kushawishi wajinga wa ccm wanaoamini bila ccm eti nchi itaingia vita bila kujali matatizo yaliyosababishwa na wahuni wa ccm na umasikini wa kupindukia kwa wananchi

Na ndiyo maana wajinga wanaendelea kudumisha fikra mfu kwa hofu za kijinga
Maskini ni wewe na familia yako unayeamini kuwa CHADEMA wakipata madaraka watakuwekea fedha mfukoni. Fanya kazi acha kulialia
 
Hao vijana wanafikiri tupo karne ile ya miaka hiyo analeta habari za Lyatonga karne hii huyo ni mtu ambae hana akili timamu anasahau kwamba technologia sasa hivi inaumbua watu
Mimi siyo kijana. Lyatonga akikiwasha mwaka 1995 nilikuwa Arusha, nime graduate na miaka 8 kazini. Give me respect when I tell the truth
 
Wacha we .... naona pesa ya ABDUL inafanya kazi haswa
umekubali kujingishwa na Kuviza ubongo wako ili upate mgao wako
wakati wa mrema na mabere kulikuwa na graduate wangapi wasiokuwa na kazi mtaani na sasa wapo wangapi?
wakati huo gharama za matibabu zilikuwaje pale muhimbili/mloganzila na sasa zipoje?
Kajifunze kuandika kwanza nincompoop!! Siyo unabdika sentensi hovyo hovyo, tunashindwa kujua una maanisha nini
 
Nenda kasome historia ya NCCR ya Mrema Lyatonga, Mabere Marando na Masumbuko Lyamwai.

Hicho kitu unachotaka kutushawishi hakiwezekaniki. CHADEMA imekuwa overtaken na events. Mwaka 2030 kutakuwa na different landscape, nyinyi nendeni makaanue matanga tu
Huwezi kulingalisha chadema ya sasa iliyo kwenye mioyo ya watanzania na nccr ya mrema. Mimi nimeshiriki kwenye zoezi hilo 1995. NCCR haikuwa imejijenga wala kuwa na mizizi chini. Hapa tunapojadili, mimi, mke wangu, watoto wangu wote, hawataki kuisikia CCM.
 
Nenda kasome historia ya NCCR ya Mrema Lyatonga, Mabere Marando na Masumbuko Lyamwai.

Hicho kitu unachotaka kutushawishi hakiwezekaniki. CHADEMA imekuwa overtaken na events. Mwaka 2030 kutakuwa na different landscape, nyinyi nendeni makaanue matanga tu
Chadema ingeshiriki uchaguzi ingeelekea huko Ila kwa msimamo wao wameweka msingi mzuri sana ....nccr ilikuwa ni conparty
 
Mwisho wa Uchaguzi Mkuu CCM itaibuka kidedea na mtabaki kuloloma miaka mingine mitano hadi 2030. Na mwaka huo mkizibaa tena mnaenda hadi 2035! CCM haipoi!!!
Kweli kabisa. Maana hadi sasa hatuna mpinzani halisi. Mwalimu mtu wetu, Mpina tumemchakachua. Lissu asiye hongeka tumemweka ndani. Vyama vingine vyote ni vyetu. Tume ni yetu, CCM tumeshinda tayari na wala hakukuwa na sababu za kampeni kupoteza muda na pesa.
 
Maskini ni wewe na familia yako unayeamini kuwa CHADEMA wakipata madaraka watakuwekea fedha mfukoni. Fanya kazi acha kulialia
🤣

Nimewahi kuomba msaada wowote kwako?

Unaposema nifanye kazi, unanilisha mkuu
 
Back
Top Bottom