CHADEMA Digital, Katiba Mpya zatikisa Uwanja wa Amani Zanzibar

Wanachokifanya kina pambalu niujinga mtupu yaani hakunahata mtu anawajali nawaona wanajipigia makofi wenyewe tu sehemu zingine kweli hawapwndi ujinga wa Hawa bavicha hongera wazanzibar kwakuwapuuza hao wapumbavu wa bavicha
 
Kule CUF ilishakufa wafuasi wa maalim wakauzwa kwa walanguzi na walanguzi wakawauza kwa CCM, Chadema waelekeze nguvu huko wachukue dora la visiwani
CDM mlikosea mlipomjibu maalim kuwa nyinyi ni chama kikubwa wakitaka wajiunge kama wanachama wa kawaida. Kiburi na uoni wa karibu kimewanyima nafasi ya kuwa chama tawala zenj siku uchaguzi ukiwa huru japo nusu tu.
Wazanzibar huwa hawaigawi nguvu ya upizani jifuzeni kuishi na ACT Is here to stay.
 
Weka ushahidi .
 
Back
Top Bottom