#COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

Viongozi karibu wote Tanzania wana tatizo la kujieleza.

Hapo Mbowe kajifungulia Pandora box la kusemwa analipwa na ma Freemason wa Bill Gates kulazimisha Watanzania wachanjwe chanjo za kusababisha wasizae sana ili kudhibiti ukuaji wa idadi ya Waafrika.

Utaona tactless comments kama hizi zina undermine effort ya vaccination. Hata kama una support vaccination.
 
Mbowe stupid sana, niliwaambia, huyu Div 0 ya form six akili yake zero kabisa

Haya ndio mawazo ya Div 0. Mbowe jinga sana
 
It is not uncommon for governments and institutions to mandate certain actions or types of behaviour in order to protect the wellbeing of individuals or communities.

Such policies can be ethically justified, as they may be crucial to protect the health and wellbeing of the public. Nevertheless, because policies that mandate an action or behaviour interfere with individual liberty and autonomy, they should seek to balance communal well-being with individual liberties.

While interfering with individual liberty does not in itself make a policy intervention unjustified, such policies raise a number of ethical considerations and concerns and should be justified by advancing another valuable social goal, like protecting public health. [WHO]
 
Baada ya kuona iyo kofia aliyovaa kichwani nilitegemea ataongea ujinga kama huo, wenzake wakina CHE GUEVARA walizitumia kwenye field yeye analeta ukamanda maneno.
 
Mwenye jukumu la kutoa chanjo kwa Watanzania sio Mbowe, it's the government!

Hizo conspiracy theories zimekuwepo hata kabla ya Mbowe and others kuzungumza kuhusu chanjo. Jambo la msingi hapo ni kutengeneza utaratibu mzuri wa utoaji chanjo kama ambavyo imesemwa na Mbowe.

Kwa sababu hata suala la chanjo za lazima (vaccine mandates) lina utaratibu mzuri tu ambao umeainishwa vizuri na WHO pale ambapo utahitajika.

Suala jingine linaloambatana na hilo la conspiracy theories ni hofu juu ya usalama wa chanjo kwa ujumla. Hili ndilo linalosumbua pia nchi nyingi ikiwemo Marekani.

Juzi hapa Fauci ame-suggest kuhusu kuwepo kwa ulazima wa chanjo angalau katika ngazi za serikali za mitaa kwa sasa hata kama bado chanjo hazijaidhinishwa kikamilifu. Bado kuna mwitikio mdogo sana wa watu katika baadhi ya maeneo pamoja na kuwa asilimia kubwa ya watu tayari wamekwisha pata chanjo.

Kuna watu wamegoma kabisa kuchanjwa pamoja na uhamasishaji na uhiari uliopo. Ukienda nchi zingine kama Urusi, upuuzaji wa chanjo ni mkubwa mno.

Vipi kuhusu nchi ambayo haijatoa chanjo hata kwa raia mmoja, mwamko wa kuchanjwa kwa hiari kwa kila raia utakuwaje ukizingatia mwenendo ama kasi ya maambukizi inavyokwenda duniani?
 
So you are using a cited WHO response,ok Noted! Hebu Soma hyo response yako tena,,they are excusing tyrannical behaviour by using catchy phrases like 'advancing valuable social goal'....human rights including individual liberties are absolute ,they cannot be suspended for any reason..and lastly who has carte blanche on determining what those valuable social goals are? Is it your government,or a highly political organ led by a globalistic kabal like the WHO?
 
Fauci is a self obsessed moron,,in the 1980's he himself promoted the conspiracy theory that AIDS is contracted by coming into contact or touching gay men....in the early days of covid he said masks are useless,,,the agency the NiH funded the lab to which this strain of corona viruses are said to have emerged...Look up the Fauci Emails and his various exchanges with Senator Rand Paul of Kentucky....
 
Huyu sijui Mwamba hajafanya utafiti wa public opinion ya watanzania kuhusu covid..19..anaropoka tu...Hana tofauti na jamaa wa tozo ya miamala
 
Nothing is suspended! Read, don't just rush to reply please!

Mandate policies should seek to balance communal well-being with those individual liberties, that's what WHO suggests. They should be considered to counter significant risks of mortality due to the pandemic and promote significant public health benefits.

Prevention of significant risks of mortality and promoting public health benefits as mentioned above are among the valuable social goals identified by a legitimate public health authority.
 
Well, now I see where your problem is!
 
Mbowe amesema serikali itafute utaratibu wa kulazimisha watu wote wapigwe chanjo.

Hilo jambo hata maadili ya kitabibu hayaruhusu.

Unaelewa hilo?
 
HIVI KWELI KWAMBA MBOWE HAKUONGELEA HIZO TOZO ZA KIDHALIMU KWA WANANCHI AMEONGELEA KORONA TU?

MBOWE, MBOWE, MBOWE HUKUSIKIA KILIO CHA WATANZANIA KUHUSU HIZO KODI ONEVU, ZA MANYANYASO NA DHULUMA?
 
Mbowe amesema serikali itafute utaratibu wa kulazimisha watu wote wapigwe chanjo.

Hilo jambo hata maadili ya kitabibu hayaruhusu.

Unaelewa hilo?
Si kweli kuwa maadili ya kitabibu hayaruhusu kabisa.

Kanuni za maadili ya kitabibu zinapendekeza kutumika kwa utaratibu wa lazima katika utekelezaji wa sera za afya katika mazingira ambayo ni moral justifiable.

Zipo moral justifications mbalimbali za utekelezaji wa chanjo za lazima. Hizo justifications zinakubalika hata na taasisi kubwa za afya kama WHO. Hazijakatazwa!
 
Ukishaongea mambo ya moral justifiction ndiyo umeshaanza ku qalify kitu. Hizo ndizo habari za kulazimisha nurses wachanje.

Na ukilazimisha nurses wachanje, hujalazimisha wananchi wachanje.

Kwa sababu, kama nurse hataki kabisa kuchanja anaweza kuacha kazi.

Mbowe haja qualify hii issue. Ameongea kwa raia wote chanjo ilazimishwe. This is wrong, unethical and will violate minority rights za watu kama Jehovah Witnesses ambao hawakubali chanjo kwa sababu za kidini. Mimi sina dini lakini natetea haki za watu wenye imani zao.

By the way, atatoa tamko ku walk back hii kauli, kwa sababu hata watu wa chama chake wameikataa. Haibebeki.
 
If I'm not mistaken, ameongelea kuhusu "utaratibu". Kama ni suala la utaratibu basi hapo ndipo ambapo tunaweza kuzipata hizo justifications.

Hata katika maadili ya kitabibu yanayohusu ulazima katika utekelezaji wa sera za afya kwa raia wote, bado pia kuna exemptions kama hizo ambazo umezitaja hapo.

Ukiachana na masuala ya kidini, pia kuna cases ambazo baadhi ya watu wana allergies kutokana na hizo chanjo, nao wanaweza kuwekwa katika kundi la medical exemptions.

Hizo exemptions zinaweza kuwepo na wakati huohuo utekelezaji wa sera ya afya ya namna hiyo ukaendelea kwa raia wengine waliobaki. Utaratibu maalumu wa utekelezaji wa huo "ulazima" ndilo suala la muhimu zaidi kama nilivyosema hapo awali.
 
Ni kweli lakini sio lazima.
Kwa mfano ni lini waathirika wa HIV wakalazimishwa kutumia ARV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…