Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
- Thread starter
-
- #161
CHADEMA ni Tishio kwa Siasa za tanzania ndio maana inatajwa sana kuliko vyama vingine vyote, Tazama hata humo ndani kati ya wale walipata kuchangia kuhusu CHADEMA ni wengi kuliko cha chochote kile.tatizo sio upadre wala nini?? Mbona Mafisadi nayo nayo yanatoongoza?? Hata kama akiwa muchungaji kama ni masafi kwa matendo yake kuna nini?? Tunataka watu wasafi na wazalendo wa Taifa hili. Dr. Slaa ni Mzalendo wa kweliNimegundua chadema inatajwa mara nyingi sana ina maana inaanza kuwa tishio manake unataka kuturudisha kule tulikobishana kuwa CCM chama cha waisalamu kwa kuwa na viongozi wa juu waislamu Raisi,makamu raisi wa Zanzibar na pia Central committee yote waislamu ukiacha EL
Kwasababu CCM=Dola; hakuna tofauti kati ya dola na siasa kumbuka CUF zanzibar walivyadhibiwa for 15 years now..chadema lazima wa-undergo hizo stages za kuumizwa kama inataka kuwa upinzani kwelikweliHivyo naomba kuuliza kuwa kwanini mara zote CCM wanafanyia vurugu na hawa wahusika hawachukuliwi hatua yoyote ile????? NAOMBA jibu tafadhali
Ni kweli, Lakini kila wakati ni CHADEMA ndio maana naona kuwa Tishio la CCM ni CHADEMA kwa sasa. ndio maana kila wakati vurugu ni CHADEMA na CCM, Ngoja wasubiri mwakani uone kila Sehemu itakuwa kama vuguvugu kubwa sana, wanapaswa kujua na kufuata sheria na sio kufanya siasa za Kishetani kama hivi wanavyofanya CCM inatia Hasira sana kuona watu wanakatwa mapanga kila wakati katika chaguzi ndogo kama hizi.Kwasababu CCM=Dola; hakuna tofauti kati ya dola na siasa kumbuka CUF zanzibar walivyadhibiwa for 15 years now..chadema lazima wa-undergo hizo stages za kuumizwa kama inataka kuwa upinzani kwelikweli
Tunasubiri wafe watanganyika 27 ndio watakuwa na akili
Tumain said:Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
Tumaini! Mhhh!
Hivi dunia hii kuna watu wasiojiamni kama waislamu? Mmekalia tu madrasa na kupiga soga kwenye vijiwe na haya ndo matokeo yake. Badala ya kufanyakazi mkishatoka misikitini mnaishia kwenye vijiwe vya kahawa na ndo chanzo cha umbeya kama huu.
Ama kweli waislamu ni watu hatari. Ingewezekana mngetengenezewa ulimwengu wenu mkae huko muuane vizuri, maana sasa mpaka mnakera kwa infiriority complex zenu.
Hivyo naomba kuuliza kuwa kwanini mara zote CCM wanafanyia vurugu na hawa wahusika hawachukuliwi hatua yoyote ile????? NAOMBA jibu tafadhali
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!
Kwasababu CCM=Dola; hakuna tofauti kati ya dola na siasa kumbuka CUF zanzibar walivyadhibiwa for 15 years now..chadema lazima wa-undergo hizo stages za kuumizwa kama inataka kuwa upinzani kwelikweli
Tunasubiri wafe watanganyika 27 ndio watakuwa na akili
Habari zaidi na source zitakuja soon! ndio maana umeanza kama tetesi...
Umbea na uchochezi unaujua wewe ...mimi nakupa tu habari kwamba hayo yanatokea kwa jinsi "mtiririko wa matukio" unavyokwenda. Habari zaid zinakuja?
Hii ndio Jamiiforums aka JF na sisi ndio washika dau mwenyewe, Ni lazima tuwe na uwezo wa kujenga Taifa lenye mapenzi mema na lenye demokrasia ya kweli na hii itaifanya taifa hata Serikali kuwajibika kwa watu na kuona tunapata maendeleo ya kweliMkuu Mag3 na Josh
Hoja zenu zinanikosha sana.Kwanza natoa shukrani kwa crew members wa jamiiforums kwa kutupatia uwanja wa kubadilishana mawazo ili hatima ye tuweze kujenga taifa endelevu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Kazi kubwa waliyofanya Chadema wanapaswa kuungwa mkono kwa hali na mali kubwa sana katika siasa za Tanzania katika ujumla katika kutetea maslahi ya Tanzania
Vyama vya 'upinzani' vinatakiwa viungane! viongozi wa vyama hivi waache ubinafsi! Bila kuungana kuiangusha CCM ni zaidi ya miaka 20 au zaidi ijayo!UMOJA ni nguvu. ... Halafu kwanini waita vyama vya upinzani? kwanini wasiite vyama vingine vya siasa? kama hili ni refu kwanini usitafutwe msamiati mbadala! kuwaita wapinzani kunaharibu kabisa mantiki ya kuwepo kwa vyama vingi bora hata wangewaita washindani!