katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
Kipindi cha nyuma Chadema kilikuwa chama kinachosifika sana ukisikia jina Mbowe yaani unatemeka sio kwa kujitolea au sio kwa hoja zao ila kwa kil kitu zile uniform za grey wanaitana Makamanda.
Nakumbuka huku Arusha vijana wengi walikifurahia wengine wakajitolea kwa Mh. Lema ilikuwa fujo na raha sana.
Ila kwasasa kimekufa hakisikiki sijui kwanini je humu Chadema mpo au mmeshabadilisha tiketi kama Wema. Wema aliona anakaa na njaa akarudi CCM.
Wakuu hebu fungukeni.
Mimi ni CCM tokea nipate uelewa na ni chaguo langu mazima.
Napenda rangi yao kijani inaamanisha amani na chakula kipo.
Kijivu chadema meaning njaa.
Karibuni kwa mapovu.