Chadema chama kinachosifika wanachadema mpo?

Chadema chama kinachosifika wanachadema mpo?

Weee shost huijui vzur kijani, couz hujaish hapa nchini ila ouk bhana kuwa upande ambao unaona sahihi kwako. Relaaaax
Umeshawahi kuona mtu anafurahia kwao ila akija kujua hapo sio kwao niwamepanga sindokukata tamaa hicho chama kilipendwa sana ila kilijishusha kwa tundu .
Hawakumsaidia matibabu.
Ni watu wengine ndio walijitolea akapona sasa ahadi zao hazijatimizwa basi.
Ndio maana chadema imeshuka daraja
 
Back
Top Bottom