CHADEMA, Chama kilichozeeka kabla hakijafikia umri wa kuzeeka kisiasa

Hahaha maccm bwana dah kweli chadema imewashika pabaya..eti chadema kimezeeka...msifikiri chadema itakufa kwa propaganda dhaifu kama hizi za uongo za ugaidi ect...maccm ni majinga machumia tumbo.
 
Ahahahahaha Mkuu TUNAO TUMIA mataputapu ndiyo tunafikiri hovyo hovyo kama huyu jamaa?
 
Ndugu zanguni,

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.

Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .

The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .

Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache

Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.

Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
430257_126351030825767_669163874_n.jpg

TEAM CHADEMA

wewe ni noma
 
Ujumbe umefika mahala pake, chadema wasipojiangalia upya watafutika katika siasa za Tanzania....haya mambo sio ya kupuuza
 
......Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika. Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV......

Huna uhakika na unachokiongea, vyombo vya habari vilirusha tukio lile na Tume ya haki za binadamu ilifanya kazi na kutoa ukweli wa tukio zima. Unayaandika hayo kutoka wapi? Ndio mana siku zote nasema kuwa una akili ndogo sana

.......Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache.........

Vijana wenye uelewa na tusio wabifsi hatuwezi kukubali kutumika kama wewe, tunajua CCM wanafnya nini na pia tunajua nini hawafanyi na hawawezi. Tunatambua umuhimu wa CDM katika siasa za nchi yetu na pia tunajua nani hasa wana nia ya dhati ya kutuletea maendeleo, mapungufu yapo kila sehemu lakini tunajua nani wana nafuu. Zinduka bro, mwisho wako mbaya.

.........Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.

Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.......

CDM wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuonesha nini watawafanyia watanzania pindi watakapochaguliwa kuingia ikulu. Waliobahatika kuwasikia walielewa na kuipigia kura CDM, wachache ambao hawakubahatika waliendelea kupig kura kwa mazoea. CDM haitafuti umaarufu kwa njia za hovyo namna hiyo na haijawahi kutafuta umaarufu kwa njia hizo, CDM wanapata umaarufu kwa hoja zao bungeni na kwa kuteteta maslahi ya watanzania walio wengi.

Hicho ni kitu ambacho CCM kimewashinda na hawatakiweza kwa sababu kila mtu anaangalia tumbo lake. Hata wewe pia, umehamia CCM kwa maslahi yako binafsi na hata hayo maneno umeyaandika kwa kuangalia tumbo lako na sio kwa busara zilizoshirikisha ubongo.
 
Huna uhakika na unachokiongea, vyombo vya habari vilirusha tukio lile na Tume ya haki za binadamu ilifanya kazi na kutoa ukweli wa tukio zima. Unayaandika hayo kutoka wapi? Ndio mana siku zote nasema kuwa una akili ndogo sana

Vijana wenye uelewa na tusio wabifsi hatuwezi kukubali kutumika kama wewe, tunajua CCM wanafnya nini na pia tunajua nini hawafanyi na hawawezi. Tunatambua umuhimu wa CDM katika siasa za nchi yetu na pia tunajua nani hasa wana nia ya dhati ya kutuletea maendeleo, mapungufu yapo kila sehemu lakini tunajua nani wana nafuu. Zinduka bro, mwisho wako mbaya.

CDM wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuonesha nini watawafanyia watanzania pindi watakapochaguliwa kuingia ikulu. Waliobahatika kuwasikia walielewa na kuipigia kura CDM, wachache ambao hawakubahatika waliendelea kupig kura kwa mazoea. CDM haitafuti umaarufu kwa njia za hovyo namna hiyo na haijawahi kutafuta umaarufu kwa njia hizo, CDM wanapata umaarufu kwa hoja zao bungeni na kwa kuteteta maslahi ya watanzania walio wengi.

Hicho ni kitu ambacho CCM kimewashinda na hawatakiweza kwa sababu kila mtu anaangalia tumbo lake. Hata wewe pia, umehamia CCM kwa maslahi yako binafsi na hata hayo maneno umeyaandika kwa kuangalia tumbo lako na sio kwa busara zilizoshirikisha ubongo.
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Yule Mwingine kule Iringa ni mikutano kila kukicha hakuna la maana analofanya zaidi ya kupiga kelele bungeni
Sugu naye naona cha maana alichowafanyia wananchi wa Mbeya ni kupanda jukwaani na kuimbia mistari ya single yake mpya.
Chadema kuna wabunge wawili au watatu tu Zitto, Lissu... na Ndesamburo, wengine wote hamna kitu mukichwa
 
hivi kweli bado kuna watu wanataman CCM Iendelee kubakia madarakani??
Kweli ngosi nyeusi ina mashaka sana..
 
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Yule Mwingine kule Iringa ni mikutano kila kukicha hakuna la maana analofanya zaidi ya kupiga kelele bungeni
Sugu naye naona cha maana alichowafanyia wananchi wa Mbeya ni kupanda jukwaani na kuimbia mistari ya single yake mpya.
Chadema kuna wabunge wawili au watatu tu Zitto, Lissu... na Ndesamburo, wengine wote hamna kitu mukichwa

Wewe ulitaka hao wabunge wawafanyie nini wananchi na kazi ya mbunge ni nini? Mi kazi ya mbunge wangu Mnyika naiona, na naridhika na utendaji wake wa kazi katika jimbo letu na katika kupigania haki za wengine katika nchi yetu.
 
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Yule Mwingine kule Iringa ni mikutano kila kukicha hakuna la maana analofanya zaidi ya kupiga kelele bungeni
Sugu naye naona cha maana alichowafanyia wananchi wa Mbeya ni kupanda jukwaani na kuimbia mistari ya single yake mpya.
Chadema kuna wabunge wawili au watatu tu Zitto, Lissu... na Ndesamburo, wengine wote hamna kitu mukichwa

...2najua chilisosi ni kkrombwezo knachotakana na maozeo ya nyanya na pilipili hivyo basi ndugu nawe akili zako zmeoza tena mfu. Wabunge wa CDM ndiyo chachu ya maendeleo ya Taifa zma hata mm mwenye Mbunge wa ccm kwa miaka 25 cjaona la maana zaidi ya propaganda ya amani. Japo c mwana CDM kwa muda huu mfp wamebadili mitazamo ya wa2 hakika sasa 2najtambua, kazi nzur. Ebu we mfu niambie Jenista Mhagama, Abdalla Kigoda, Blandes, Shabiby, Kawawa, John Komba, Kapuya, Sitta na wengineo kama Mwehu Mwigulu wamefanya nini kwa awamu zao zote kama siyo kuchumia mitumbo yao na k2jengea nidhamu ya woga?
 
Ndugu zanguni,

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.

Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .

The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .

Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache

Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.

Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
430257_126351030825767_669163874_n.jpg

TEAM CHADEMA

Akili zako ni chakavu hivyo kutu ni nyingi sana huna budi kupata msaada kusafisha ubongo wako.Kama unazo akili timamu kamwe huwez kuiponda cdm kwa lolote,chadema ni chama cha upinzani ambacho kinafanya siasa zake kwa njia za kisasa zaidi kulko vyama vingne.Ni chama kinachobadilika kadli inavyowezekana ni chama kinachokuwa kila sku,we na wenzio endeleeni kuwa na ccm mkiamini kupata nafuu ya vinywaaji kila baada ya miaka mitano mnazeeka akili ilihari bado vijana?
 
Ndugu zanguni,

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.

Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .

The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .

Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache

Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.

Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
430257_126351030825767_669163874_n.jpg

TEAM CHADEMA

Hii inaniumbusha stori ya mwanamama ambaye baada ya baada ya kupigwa talaka tatu anadai "ah yule mwanaume gani.Kwanza kinanihino chake kidogo."

You just got ----*d, Mr Lukosi.
 
Back
Top Bottom