Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.
Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .
The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .
Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache
Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.
Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
TEAM CHADEMA
......Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika. Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV......
.......Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache.........
.........Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.
Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.......
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Huna uhakika na unachokiongea, vyombo vya habari vilirusha tukio lile na Tume ya haki za binadamu ilifanya kazi na kutoa ukweli wa tukio zima. Unayaandika hayo kutoka wapi? Ndio mana siku zote nasema kuwa una akili ndogo sana
Vijana wenye uelewa na tusio wabifsi hatuwezi kukubali kutumika kama wewe, tunajua CCM wanafnya nini na pia tunajua nini hawafanyi na hawawezi. Tunatambua umuhimu wa CDM katika siasa za nchi yetu na pia tunajua nani hasa wana nia ya dhati ya kutuletea maendeleo, mapungufu yapo kila sehemu lakini tunajua nani wana nafuu. Zinduka bro, mwisho wako mbaya.
CDM wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kuonesha nini watawafanyia watanzania pindi watakapochaguliwa kuingia ikulu. Waliobahatika kuwasikia walielewa na kuipigia kura CDM, wachache ambao hawakubahatika waliendelea kupig kura kwa mazoea. CDM haitafuti umaarufu kwa njia za hovyo namna hiyo na haijawahi kutafuta umaarufu kwa njia hizo, CDM wanapata umaarufu kwa hoja zao bungeni na kwa kuteteta maslahi ya watanzania walio wengi.
Hicho ni kitu ambacho CCM kimewashinda na hawatakiweza kwa sababu kila mtu anaangalia tumbo lake. Hata wewe pia, umehamia CCM kwa maslahi yako binafsi na hata hayo maneno umeyaandika kwa kuangalia tumbo lako na sio kwa busara zilizoshirikisha ubongo.
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Yule Mwingine kule Iringa ni mikutano kila kukicha hakuna la maana analofanya zaidi ya kupiga kelele bungeni
Sugu naye naona cha maana alichowafanyia wananchi wa Mbeya ni kupanda jukwaani na kuimbia mistari ya single yake mpya.
Chadema kuna wabunge wawili au watatu tu Zitto, Lissu... na Ndesamburo, wengine wote hamna kitu mukichwa
Naomba uniambie wabunge wa Chadema wamewafanyia nini wananchi toka wachaguliwe
Yule Mwingine kule Iringa ni mikutano kila kukicha hakuna la maana analofanya zaidi ya kupiga kelele bungeni
Sugu naye naona cha maana alichowafanyia wananchi wa Mbeya ni kupanda jukwaani na kuimbia mistari ya single yake mpya.
Chadema kuna wabunge wawili au watatu tu Zitto, Lissu... na Ndesamburo, wengine wote hamna kitu mukichwa
Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.
Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .
The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .
Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache
Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.
Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
TEAM CHADEMA
Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mbinu wanazotumia Chadema kujipatia umaarufu na kugundua kuwa wanatumia mbinu za kizamani sana ambazo zilikuwa zinatumiwa na madikteta wa zamani sana.
Hizi mbinu za kunyofoa watu kucha na meno zimepitwa na wakati na ni dalii ya kuzeeka kabla ya umri kufika
Nimechunguza zile vurugu za Iringa na kugundua kuwa vijana walihamasishwa kwenda kufanya mkutano/maandamano bila kibali lakini viongozi wakuu wa Chadema ambao walikuwa waende kuwa nao pale walijifungia hotelini Iringa mjini waiwaangalia kwenye TV .
The same na hii video ambayo inathibitisha wazi kuwa wanapanga mikakati ya kigaidi ili kuwachonganisha polisi na wananchi pale wakifanya unyama huku wakisema afande mshuti basi wananchi wadhanie polisi .
Na ukichukulia kuwa vijana wameisha kuwa brainwashed inakuwa ni vigumu kuwafumbua wajitambue kuwa wao sio wazee ni vijana wasikubali kutumiwa kama misukule kwa manufaa ya watu wachache
Chadema ili wawe chama bora cha upinzani inabidi wawaeleze wananchi watawafanyia nini kama wakichaguliwa
kuongoza nchi na hapo ninajua kama watamwaga sera zinazolipa basi wananchi watawakubali.
Kwa kifupi Chadema wameshindwa kuwashawishi wananchi na kuonyesha ni namna gani wataleta maendeleo na kilichobaki sasa wanatumia ugaidi kujitafutia umaarufu ili waingie ikulu kwa gharama yoyote ile hata kama ikiwa ni kwa uhai wa binadamu.
TEAM CHADEMA
Umejuaje wakati mimi nilifanya siri?