Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.
Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.
Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
A bustard is a liar, shakerspeer wrote a poem.Marytina, hebu jaribu kusoma hapa chini
Sijui unataka data gani labda nikupe hii, matokeo ya uchaguzi mdogo wa majimbo mawili, Uzini, Igunga! au utasema Chadema waliibiwa kura?
Mwananchi wa kawaida wa huko vijijini, mfano wa Igunga, Uzini au hata Arumeru wanakojiandaa na uchaguzi mdogo, haoni madhara ya ufisadi, Ufisadi mnaujua nyie wa mjini yule wa mjini ana kero zake kutopata maji safi na salama, huduma ya afya, soko la uhakika la kuuzia mazao yake.
Tafadhali usitoneshe watu vidonda kaa kimya.Mliweka pembeni utu wa kibinadamu mkasambaza vikaratasi kwenye nyumba za Ibada kuwachochea watu wapige kura kwa misingi ya udini.Udini utawatafuna na kuwarudia mpaka mtakapomalizika.Mmeona Arumeru kampeni ya udini haina nafasi mkamtuma kibaraka wenu Tendwa aanze kuchochea ukabila.Nakuhakikishia kwa hili hamtafanikiwa.
Nadhani kuna umuhimu kwa viongozi wa Chadema kubadili muelekeo na kufanya siasa za kistaarabu zaidi kuliko hata CCM yenyewe ili wananachi washawishike kuamini, pia amani na utulivu katika nchi hii inaweza kuendelea kudumishwa bila CCM.
Mkuu, JF sio kijiwe cha mbege usiwe unaokota maneno mtaani bila facts wa data za kutosha unaleta JF, weka ushahidi wa maneno yako!
Kibaraka mkubwa wewe wa chama cha majambazi CCM,unaandika vitu ambavyo havina kichwa wala miguu,Haya nenda sasa ukachukue posho kwenye ofisi za CCM.
Gud analysis mkuu ritz.
Tatizo la mashabiki na wanachama wa CDM hawayaoni haya. Kila siku chama kinazidi kudorora, wanashindwa kwenye chaguzi ndogo mbali mbali kwa tofauti kubwa, lakini halion hili!
Kazi kuimba tu Slaa, Slaa, Slaaa..
Mkuu Rejao,
Tatizo la Pro-Chadema JF ndio ilo, Inawezekana mkondo wa siasa za fujo na za kibabe wanazoziona ndio njia ndio umekipunguzia Chadema mvuto kwa wananchi watanzania hawana utamaduni wa kuendesha mambo yao kwa vurugu.
KAMA HUJAONA KUPANDA UMAARUFU KWA CHADEMA BASI WEWE INAWEZEKANA UMEFUFUKA LEO AU ULIKUWA UNAANDIKA THREAD HII UKIWAZA KWA KUTUMIA MASABURI? kifupi chadema ipo juu sana ila kama unafanya analysis kupitia ikulu au unaifanya kwa kushirikiana na Jusa huwezi ona kupaa kwa chadema na kuporomoka kwa CCM, mfano mtaani kwangu mm tulikuwepo wapenzi wa chadema wa 4 october 2010, Leo hii kuna wanachama zaidi ya 80 katika mtaa unaobeba kama watu 300 tofautisha wanachama na wapenzi ss 2015 najua tutachukua mtaa mzima CCM walikuwa na shina limekufa tukachukua mpaka na balozi toka nje uje kufanya analysis mkuu.KARIBU MWANZA UJIONEE!!!!! PEOPLESSSSSSSSSSSSS!Wanabodi.. Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii. Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia. Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi. Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini. Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini. Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto. Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
KAMA HUJAONA KUPANDA UMAARUFU KWA CHADEMA BASI WEWE INAWEZEKANA UMEFUFUKA LEO AU ULIKUWA UNAANDIKA THREAD HII UKIWAZA KWA KUTUMIA MASABURI? kifupi chadema ipo juu sana ila kama unafanya analysis kupitia ikulu au unaifanya kwa kushirikiana na Jusa huwezi ona kupaa kwa chadema na kuporomoka kwa CCM, mfano mtaani kwangu mm tulikuwepo wapenzi wa chadema wa 4 october 2010, Leo hii kuna wanachama zaidi ya 80 katika mtaa unaobeba kama watu 300 tofautisha wanachama na wapenzi ss 2015 najua tutachukua mtaa mzima CCM walikuwa na shina limekufa tukachukua mpaka na balozi toka nje uje kufanya analysis mkuu.KARIBU MWANZA UJIONEE!!!!! PEOPLESSSSSSSSSSSSS!