CHADEMA, CCM wachuana matangazo ya Televisheni

tutakwenda sisi wenyewe kujionea live ... na hii ndiyo itafanya idadi ya watu kuwa kubwa zaidi
 
Jf yatosha. Sisi wenye access na Jamiiforums tutawahabarisha na wengine kinachojiri.
 
tutakwenda sisi wenyewe kujionea live ... na hii ndiyo itafanya idadi ya watu kuwa kubwa zaidi

Tatizo watu wa nje ya Dar mkuu,Wataitaji pia kusikia Ukawa wana lipi la kuwaeleza.
 

kwa mujibu wa afisa wa habari makao makuu chadema tiyari vimepatikana vituo vinne vya tv ikiwemo na radio nne.
 
kwani hawa sisiemu hiyo TBC haiwatoshi? sisi azam na ITV zinatutosha UKAWA
 
Mbona tumeletewa humu Ratiba ya UKAWA ikielezea Mkoa,muda na eneo la mkutano! Ina maana hayo maeneo yote yanamilikiwa na CCM?
 

Hawawezi kuziba kila kitu. Hizo fedha za kununu mda matangazo zinaweza kutumika kudurufu vipeperushi na ujumbe ukawafikia mamilioni vile vile...
 
We Dogo1 ,tulia bado wewe dogo

kabla ya kusikia harufu ya damu ya mtu mwengine kwanza utasikia ya kwako - i can say it repeatedly, andaa jeneza la kwako, and this time, na members of your family!
 
Last edited by a moderator:
Duh!,mkuki mkali sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…