Elections 2010 Chadema call back ringtone

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,678
4,350
Wadau km wewe ni mteja wa Voda tuma ujumbe unaosema BUY 772 kwenda 15577. utapata call back ringtone inayohimiza watu kuchagua chadema. Yaani mtu akikupigia wakati unasubiri upokelewe huo wimbo ndo unaimba. in tshs 400/- tuu
 
Ni shillingi 400 kwa mwezi? au ukisajili wimbo huo unakatwa 400 basi hukatwi tena? kuwa wazi kwa hili kabla sijasajili sasa hivi!
 
OK KUjisajili ni Tshs 600/- kwa mwezi halafu ringback tone yenyewe ni shs 400/- so jumla ni buku. umenikumbusha mdau kitu kizuri ana thanks!
 
good move maana wenzenu sasa wanchangisha pesa za exemption
 
Wadau km wewe ni mteja wa Voda tuma ujumbe unaosema BUY 772 kwenda 15577. utapata call back ringtone inayohimiza watu kuchagua chadema. Yaani mtu akikupigia wakati unasubiri upokelewe huo wimbo ndo unaimba. in tshs 400/- tuu

Mkulu wale wa simu za vijijini I mean Zain vipi??? Mbona wanatutenga
 
Afu ile 15710 wanichakachua nini?
Kila tukituma inasema "failed by service"...
Tuna hamu ya kuchangia maji ya kunywa kwa daktari...
 
Back
Top Bottom