Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa, no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.

mwalimu wangu aliniambia kujua swali ni nusu ya kufauru...hivyo kwa kazi wanayoifanya CHADEMA kuwaaniaka mafisadi ni hatua kubwa sana...mfano EPA tuliambiwa pesa zimerudi zikapelekwa kwa wakulima hiyo siyo kazi nzuriNi mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.
Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa, no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
wewe ndo hujui lolote kazi kukaa tu vijiweni na kupiga makelele? Kwanza uchaguzi wenyewe zaidi ya nusu hamkupiga kura mlikuwa mnategemea nini amkeni basi asubui siku moja mumpeleke huyo slaa wenu ikulu watanzania mnajua kuongea tuujina lako ni sawa sawa na uelewa wako na tafakari yako. Nilitaka kucoment lakini nimegundua hautanielewa kutukana na uwezo wa kifikra ulio nao.
My friend accept that you know nothing so that you can get a chance to learn.
yaani akili yangu huna hata robo yake.si mngepiga kura zaidi ya nusu ya wapiga kura hamkupiga kura na wewe ni mmojawapo sasa iyo serikali walioiweka waacheni maana waliona inawafaabebii hujui kitu masikini!!! Hujui nini maana ya chama cha siasa, hujui kuhusu serikali, hujui siasa inaapply vipi kwenye maisha yako doh! Pole sana
wewe una macho yote ila yote mabovuwe bebii! Nilitamani sana niseme nawe kwa kirefu kidogo ila nikagundua mambo makubwa kwa namna moja ama nyingine ambayo inaweza ikawa ndiyo upungufu kwako. Sitasema yote ila moja kubwa ni makengeza uliyonayo inakupata tabu ya uwelewa. Pole sana!
Issue siyo seriksli ni vision ya kuyatekeleza hayo unayoyahubili ? usiwaambie watu unauwezo wa kumaliza umasikini wao bila fomula? chadema wanaongeza miji mingi lakini tangu wapewe hali ni mbaya zaidi sasa unataka tuamini vipi kuwa uwezo mmnao?chadema ina serikali ...? sera zinatekelezwa na chama kitakachokua madaraka
shut up ...... hujui siasa wewe
wakulima wapi? Wewe au mjomba wako au shangazi yako kuna ambae amezipata?mwalimu wangu aliniambia kujua swali ni nusu ya kufauru...hivyo kwa kazi wanayoifanya chadema kuwaaniaka mafisadi ni hatua kubwa sana...mfano epa tuliambiwa pesa zimerudi zikapelekwa kwa wakulima hiyo siyo kazi nzuri
yaani akili yangu huna hata robo yake.si mngepiga kura zaidi ya nusu ya wapiga kura hamkupiga kura na wewe ni mmojawapo sasa iyo serikali walioiweka waacheni maana waliona inawafaa