Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.
Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.
Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.