CHADEMA bila Mbowe na Dr Slaa ni kama ndege bila rubani, waendelee kutuongoza

Mhere Mwita

Verified Member
Jan 24, 2012
235
1,000
Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.

Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.
 
Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
sio hyo mkuu nafikri hujanielewa mbona Franklin Roosevelt aliongoza nchi ya Marekani mwaka 1933 kwa mihula mtatu kwa hiyo wamarekani walikuwa mataira kama wametawala vizuri waache watawale tu kwani wewe inakuuma nini
 
mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,254
0
Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.

Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.
Kwa taarifa yako rais ambae watanzania wanamuhitaji ni msomi zaidi wa uchumi. Naye ni Prof. Anna Tibaijuka. Huyo ndie chaguo la vijana wasomi na wanawake na watanzania kwa ujumla. Prof. Anna Tibaijuka ndo habari ya mjini sasa hivi kwa mbio za urais 2015
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,913
2,000
Kwahiyo alikuwa Mwenyekiti au Katibu? Halafu nyinyi hamuwezi kuchukuwa Dola kwa kutegemea kanda Moja

Yaani CCM bila kutaja ukabila, udini, ukanda mnaona bado siku haijapita kwa mafanikio. Ubaguzi utawamaliza
 
Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
0
Huwezi kuongelea mafankio ya CHADEMA bila kuwataja hawa watu wawili, Mbowe na Dr. Slaa. Kwa mimi ninawaona kama ni nahodha makini ambao waliolipeleka salama jahazi letu na tena kwa mafanikio makubwa.

Tuongelee suala la katiba mpya, ni ahadi ya Dr. Slaa mwaka 2010 na kweli ametimiza. Ninaomba tena wapewe nafasi ya kutawala ili watuvushe katika uchaguzi ujao salama.

Hakika ni sahihi 100%. Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.
 
mbaumbau

Senior Member
May 24, 2014
156
225
sawa umeeleweka ila ina elekea unawapenda wao sio party....ok kawambie umetekeleza jukum lako la kuwasifia!!!!!!!!!!!
 
mwanambulu

Member
Jul 17, 2014
59
125
Suala la katiba mpya ilikuwa ilani ya Dr. Slaa, alituahidi ingepatika ndani ya siku 100. So ndio maana CCM imekwama
 
elite wa Geita

Senior Member
Jul 25, 2016
157
250
Ukitaka kujua kama siasa ni mchezo mchafu na ni bora kufanya biashara ya nanasi au tikiti maji unaeza kunufaika zaidi kuliko kuwa mtumwa wa propaganda zisizokuwa na nyuma wala mbele.

Haya hebu leo tuambie Dr. Slaa hayupo, je unaweza kuwa mkweli na kutuambia jinsi mlivyoyumba? Au utakuja na porojo mpya za kutushawishi kwamba hakuna kilichobadilika? Sidhani kama viatu vya Slaa, Dr.Mashinji kama ameweza kuvivaa, naona bado vinamtela sana.

Walau Tundu Lisu angefaa kidogo. Sitaki kuamini umakini wa CHADEMA niliyokua naifahamu leo haina cha kusema kuhusu kupotea kwa Ben Saanane.
Kweli ufa wa Dr. Slaa hauzibiki CHADEMA
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,672

Mliozoea siasa za maandamano mtapata shida sana kumwelewa Dr. Mashinji.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,672
2,000
Naona kumbe Operation UKUTA ilikuwa danganya toto kwa WanaCHADEMA huku Viongozi wao wakijua hawatafanya lolote..dah mwaka huu tutajua mengi
Wengi mlidhani operation UKUTA ni maandamano, UKUTA ni Umoja wa kupambana na Udikteta Tanzania operation bado inaendelea.
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,423
2,000
nyumbu,wenzenu wanapiga hela mwanzilishi mtei mwenyekiti mshika chama freeman kaoa lilian mtei
nyumbu endeleeni kuwa wapinzani huku wenzenu wanakula upinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom