concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
im happy kuwa deep inside u unaikubali chadema, dat z nice wape kura yako kila kitu kitaeleweka sera zipo na zinatekelezeka ndo maana magamba nyingine wanaziiba na kutekeleza. GO CDM
Tunakubali makosa, sasa tunashughulika mpaka utakimbia makazi. Yaani ukiona bendera ya CDM utakuwa unakimbia. Muulize William.Ndugu yangu hiki chama uwa hakikosolewi na chama cha Mitume.
Kubali yaishe, si ni kuongeza M4C tu.Umeandika vema na umetoa hoja yako ingawa na wewe huo utafiti wako wa hoja una ombwe la ushabiki so you are not a researcher kwa sababu umeweka ushabiki na si reasonable doubt, umeelezea matatizo pasi na searching a doubtful answer. kifupi umeenda nje ya mwiko mmoja mkuu; ''without reseach no opinion adherence''. This is the room of great thinkers, think.
Ndugu yangu hiki chama uwa hakikosolewi na chama cha Mitume.
Wewe sasa mchokozi.Mtume mmoja tu ndie hataki kukosolewa, ukimkosea wafuasi wake watakushikisha adabu!!!
Wengine unawakosoa tu....labda ungesema..hakikosolewi kama mtume fulani!..
Mushumbusi unadhani hiyo ni kazi ya CHADEMA! au chama chochote cha siasa? Chama kitakachofanya hivyo kitakuwa kinaisaidia CCM iendelee kuwa madarakani. Wewe mwenyewe umetaja masuala kama tisini hivi, maana yake huwezi kufanya tafiti tisini ili ubadilishe sera. Chama cha siasa kitapata wapi fedha za kufanya tafiti hizo? Kutokana na maelezo yako ni kuwa kinachotakiwa ni kukiondoa chama kilichopo madarakani ili Chama kingine kichukue nafasi ya kurekebisha hayo tisini uliyoainisha. CDM kwa mantiki hiyo kifanye kazi ya siasa ya kushinikiza CCM iachie ngazi ili washike dola na wakabiliane na changamoto zilizopo.Mbinu za CHADEMA kujieneza haziridhishi na inaonekana wazi hakifanyii utafiti matatizo yaliyopo nchini na matatizo makubwa yaliyofichika.
Bali kuja kushinikiza maamuzi juu matokeo ya matokeo ya tafiti au taarifa zinazotolewa na vyombo vya selikali zinazoonesha madhaifu ya sekta fulani mifano:
sasa kumbe unajua madhaifu yaccm kwa nini usiunge mkono jitihada za cdm
Mushumbusi unadhani hiyo ni kazi ya CHADEMA! au chama chochote cha siasa? Chama kitakachofanya hivyo kitakuwa kinaisaidia CCM iendelee kuwa madarakani. Wewe mwenyewe umetaja masuala kama tisini hivi, maana yake huwezi kufanya tafiti tisini ili ubadilishe sera. Chama cha siasa kitapata wapi fedha za kufanya tafiti hizo? Kutokana na maelezo yako ni kuwa kinachotakiwa ni kukiondoa chama kilichopo madarakani ili Chama kingine kichukue nafasi ya kurekebisha hayo tisini uliyoainisha. CDM kwa mantiki hiyo kifanye kazi ya siasa ya kushinikiza CCM iachie ngazi ili washike dola na wakabiliane na changamoto zilizopo.
nilifikiri hujaelewa kumbe ulishaelewa tayari