Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 711
- 1,165
Je, kususia uchaguzi ndio kutatatua hizo changamoto mnazozilalamikia?Yaani mnawafunga watu kamba baharini,kisha mnakuja hapa kujisifu hawajui kuogelea,pumbav zenu
Unaendaje kwenye Uchaguzi ambao uhakika wa kupewa fomu huna, ukipewa uhakika wa kuirudisha huna, ukirudisha uhakika wa kuteuliwa huna, ukiteuliwa napo kufanya tu unapangiwa Cha kusema wakati mwingine unavamiwa kila uchao, uhakika wa kufika siku ya kupiga kura hujakamatwa hauna, uhakika wa wakala zako kuapishwa huna na akipatikana uhakika wa yeye kufika kwenye kituo akiwa salama huna.Kususia uchaguzi wakati mbinu za kuzuia huo uchaguzi hazijulikani ni kosa kubwa.
Kama bunge halijavunjwa na baraza la wawakilishi halijavunjwa unategemea nini?April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Usimuamshe aliyelalaKama bunge halijavunjwa na baraza la wawakilishi halijavunjwa unategemea nini?
Bora wazazi wako wangetumia kondomu tuApril 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Sayansi ya siasa ni ngumu sana upepo unaweza kubadilika hata siku mbili kabla ya uchaguzi. CDM haiwezi kuzuia Uchaguzi ila Watanzania wakitaka na kuamua na kusahau njaa zao wanaweza kujipambaniaApril 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Hakuna uchaguzi 2025 shika haya maneno yanguApril 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Wewe unaamini nini?Watanganyika tumeamua kusalia na kura zetu,vipi ndugu zetu wa kizimkazi?April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
We unafikiri kwa hali ilivyo walipaswa kufanya nini hao Chadema?Kususia uchaguzi wakati mbinu za kuzuia huo uchaguzi hazijulikani ni kosa kubwa.
A bunch of cowardApril 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa sustainable.
Japokuwa mawazo haya yalishabihiana na yale yaliyotolewa na Ndugu Ansbet Ngurumo, journalist loyalist wa CHADEMA wa muda mrefu, hayakupokewa vizuri na wengi, nadhani pengine yalionekana kama ni msimamo wa G55.
Muda ni hakimu mzuri sana, leo miezi mitatu baada ya makala ile, Je bado tunaamini CHADEMA watazuia uchaguzi? Kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, ni vyema viongozi wa CHADEMA wakajithamini na kujisahihisha.
Imeandikwa katika maandiko matakatifu, kitabu cha Mithali 22:3 "Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia"
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
Kamati ya uzuizi inazidi kujipambanua mtajua hamjui ndugu wahuni wa mashimoni na mapangoni!A bunch of coward
Ndiyo maana nilikwambia wewe utakuwa ni "Kanjanja" wa fani unayojitambulisha kuwa nayo.A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.