CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

MBOWE sio mtu mzuri ana TAMAA sana ... itachukua miaka hata 50 kuja chama cha upinzani TANZANIA 🇹🇿
 
Nakubali mkuu hatimae CHADEMA imekufa sasa mimi inaniuma sana hel yangu niliwachangia aisee.Si wangewaaacha tu CCM waendeshe nchi wenyewe bureee kabisa
Huu no USALITI mkubwa sana.Hawafai kuendelea kuwepo ndani ya chama
CDM imejidhoofisha sana,sijui watasema nini mbele ya Wananchi 2025
 
Mbowe anaonesha dalili za uoga sna.CDM haipaswi kuendelea na watu wa dizaini hii
Wafute uanachama, anza kutengeneza wengine

CDM ni chama cha wananchi
CDM .Nichamachake pamaja nawachagawenzie.nandiomaana yule dada wa.Geita hakupewa nafasi
 
Nasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Mkuu Bujibuji nilikuwa nakusikitikia sana, na Mshana, kwa jinsi ulivyokuwa unajitoa ufahamu kama mtoto wa juzi kumbe umeona chaguzi zote toka vyama vingi vilipoanza. Mkuu wewe hujui drama za wana siasa kaka?
Pole sana, ndio maisha lakini, acha yaendelee. Possible kuna mikakati imepangwa na cdm ya kupiga ndani na nje.
Au tusubiri kauli ya chama.
 
Dola inaweza Kuuwa chama chochote cha siasa LAKINI Kwame haiwezi uwa UPIZANI.
Mfano CUF walidhani upizani zenj ni CUF it come to be wrong
 
Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "

Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA

Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.

Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana

Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama

Alamsiki
Kwenda kule chadema chadema ndio Nini..si Sacco's tu..hivi unadhani. Watakula wapi jomba, na Wana familia watoto shule, magari ,madeni ya mikopo, we unafanya mchezo nini.?? Kama unasema utawalisha wote hao na kuwatimizia mahitaji yao kea miaka 5 jitokeze ili wajitoe..vinginevyo unawapigia kelele tu...
 
Kuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "

Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA

Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea. Watu wamefungwa gerezani, kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa. Ina maana hawa wabunge wa CHADEMA walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!! Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.

Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana

Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama

Alamsiki
Game nyie hamliwezi, subiri huyo Mnyika wako kama ataropoka, na huyo Mbowe kama atajishebedua. Ukitaka kuona uzalendo ona jinsi halima alivyojielezea kwa adabu na heshima. Tulishawaambia muheshimu mamlaka, tufanye siasa za staha nyie mnataka kufanya siasa za ugomvi, kikubwa viongozi wenu wameelewa nyie nyumbu mtaelewa tu
 
Mkuu uko kama miye. Na mijitu mingine mpaka inauliwa ikiwa mbele kwenye maandamano. Ukiiuliza unapigania nini hasa hata haijui. Halafu kesho na kesho kutwa hao hao unaowapigania mpaka kuhatarisha maisha yako unawakuta wako pamoja wanafakamia keki ya taifa. Utopolo mtupu na kamwe sitakaa nishabikie mwanasiasa !
Hahahahaha wajameni mnakumbuka maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..yamefikia wapi wajameni..
 
Una nini maskini wa kutupwa!
Wachunga ng'ombe mmepewa vi-nafasi vya uongozi mara hii mnaanza kudharau watu eti ni ''maskini wa kutupwa''! Haya walikuwepo wenye fedha na nguvu kuliko nyie lakini waliishia mwisho mbaya. Dhulma na mauaji mnaowafanyia watu wasio na hatia mwisho wake waja na siyo mzuri. Bora nibaki ''maskini wa kutupwa'' kuliko kujiunga kujiunga kwenye kundi la wauaji na dhulmati !
 
Sasa ukikaa tu home ndio chama kinakufa

Coz the way nimekuelewa ni kwamba wao wasingekwenda then sijui kama umewaza chama kingejiendesha vip?

Ww Leo tukikwambia changia mafuta Lita 1000 ya magari ya chama utatoa?
Pengine naweza kuwa nilishachangia! All ni all. Hakuna dude litakalopigania haki kwa niaba ya watanzani bali ni watanzania wenyewe.
 
Wachunga ng'ombe mmepewa vi-nafasi vya uongozi mara hii mnaanza kudharau watu eti ni ''maskini wa kutupwa''! Haya walikuwepo wenye fedha na nguvu kuliko nyie lakini waliishia mwisho mbaya. Dhulma na mauaji mnaowafanyia watu wasio na hatia mwisho wake waja na siyo mzuri. Bora nibaki ''maskini wa kutupwa'' kuliko kujiunga kujiunga kwenye kundi la wauaji na dhulmati !
Hata uwezo wa kujiunga huna nani akuunge wewe vuvuzela.
 
Kama kweli mdee kashiriki bila baraka za chama, basi ujue walitumiwa wanaume wa shoka kuwakuna.
Of all the people halima kasaliti?
Bado sjaamini hadi nisikie statement ya chama.

Back
Top Bottom