Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,597
Including CCM?- Waende wasiende haiongezi wala kubadili anything, dawa ni ku-do away na vyama vyote vya siasa bongo tuanze upya!
Respect.
FMES!
- Waende wasiende haiongezi wala kubadili anything, dawa ni ku-do away na vyama vyote vya siasa bongo tuanze upya!
Respect.
FMES!
- Waende wasiende haiongezi wala kubadili anything, dawa ni ku-do away na vyama vyote vya siasa bongo tuanze upya!
Respect.
FMES!
Hiyo asilimia kwa kwenda Mahakamani ni mwanzo wa kukifanya chama hicho kuanguka na kupoteza umaarufu kama CUF, NCCR na vinginevyo ambavyo vimeshindwa kujua mbinu mbalimbali za kupiga kampeni.Nakubaliana na Mzee Mwanakijiji 70%.
Nyongeza yangu ya 30% ni kwamba badala yake wamwezeshe Finias Magessa kwenda kortini ili akishirikiana na Mwanasheria wao maarufu Tundu Lissu, uchafu na madhambi yote yaliyotendwa na CCM huko Busanda yawe publicly exposed.
Respect Mkuu FEMS, naona hapo umekuwa na munkari kidogo! Hebu tueleza sababu za kauli hiyo maana inaonyesha kujua mengi na kukata tamaa pia
Kwanza haina sababu ya kufanya hivyo. Pili, inachosha kusikia wimbo wao wa malalamishi kuhusu........
c. Kutengeneza mtandao wa mafunzo kwa makada wake
kupoteza mtaji wao wa kisiasa. .
a. Kuandikisha wanachama wapya (kupata kura 22,000 si mchezo kwani kuna wanachama wangapi?)
b. Kufungua matawi mapya
c. Kutengeneza mtandao wa mafunzo kwa makada wake
d. Kutengeneza ajenda za mahali (hili nitalichambua baadaye)
e. Kubadilisha Katiba yake ili kilenge kushinda uchaguzi na kuunda serikali.
f. kulenga majimbo ya mjini ambako imekuwa ikikubalika kwa kufanya hayo ya a, b na c
g. Kubadili mkakati wa mahubiri yake, kuhubiri ufisadi hakuleti ushindi bali kuhubiri ujumbe wa matumaini dhidi ya ufisadi kutaleta. Wao watafanya nini. Hapa hawana budi kuradicalize their message. "tutawatafuta wale wote waliohusika na wizi wa fedha umma, tutawawajibisha, na walioficha fedha nje tutahakikisha zinarudishwa ndani ya muda x).
h. Wahamishe makazi yao toka Dar na kuamia vijijini; Dar iwe pa kuja kuchaji tu.
i. x,y
- Mkuu wangu unajua kina Nchimbi wapo wanasubiri pembeni kuchukua power, hivi kweli unategemea mabadiliko karibuni?
Ishiriki!!
Pia waendelee kudai Independent National Election Commission
Raisi kuteua Tume ya uchaguzi vyama vya upinzani vitabaki kulia wameibiwa miaka zaidi ya 50 ijayo upo upendeleo wa wazi kwa sisiemu
We need to change Constitution otherwise ni kilio kila siku za uchaguzi