CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovu

Ulivyoanzisha umaku hapo juu ulitegemea majibu gani... K mkubwa we,lazima ulivyozaliwa ulianza kutoka miguu badala ya kichwa unalaana ya kidunia janga la kitaifa we. Na kizazi chako kama hujui kitu nyamaza. Huku sio pwani
Wewe ni Premium member unayeandika hivi?? Unaboa sana. Lakini sishangai, ndo mlivyo CDM
 
Absolutely. This person is a disgrace in this esteemed platform. Can't you make your argument in a civilized manner?? Pls mods, do something.
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

[h=3]Leviticus 18:22[/h]
You shall not lie with a male as with a woman; it is an abomination
 
Hivi JF ni ya Chadema jamani?? Kwani ni lazima wote tuwe chama kimoja wandugu? Mbona mnakuwa hamjui nidhamu za Demokrasia? Kama mmenuna kwa ukweli mnaopewa si mjibu kwa hoja jamani? Mapovu ya nini??

Uamsho ni ugonjwa wa akili.....hawataki muungano kwa kuchoma makanisa

wazee na malapa yao bila kusahau suruali fupi fupi chupi hazivaliki hapo

Hivi JF ni ya Chadema jamani?? Kwani ni lazima wote tuwe chama kimoja wandugu? Mbona mnakuwa hamjui nidhamu za Demokrasia? Kama mmenuna kwa ukweli mnaopewa si mjibu kwa hoja jamani? Mapovu ya nini??
Tatizo watu wamechoka na utumbo wenu. Sio kila mwanaJF ni Chadema......Ila TUMECHOKAAAAAAAA.
 
Kwani amekosea wapi kuogogwa na Mti au kugogwa na Gari au kitu chochote kwani hilo ni tusi wewe English Learner hebu acha tafsiri zako za mitaani hapa JF
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Kweli we kikokotozi hewaa hewa kabisa cku ccm ikishnda arusha ntahama kwetu mianzini ntaenda kuishi somalia
 
nilipgwa ban coz ya watu kama wew,anyway acha nikuache na ***** wako...lakini kwa Arusha niliyopo mimi,unatakiwa upimwe IQ yako.over
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Mtoa mada atakuwa anazungumzia Arusha ya Mama yake na Mama!
Kama ni hii Arusha ya makamanda sahau!
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Duh, lini mtaacha propaganda? Tumechoshwa na mamnbo haya!...
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Huna lolote kamba coach wewe
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Hongera mfa maji
 
Safi sana mjitahidi watu hao wagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…