Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,170
- 28,821
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
Hahahahaha... tedo umemaliza kumbe tunajibizana na mlevi hapa khaaaaa
chadema kama hujatoka
mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi
wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa
nini
Si uende ukapike chakula kama una lolote,sio lazima uingie ndani humu. Huyo Masele alishinda kwa tofauti ya kura moja kama sio wizi ni nini??? Hata kupika ni kazi pia
Ni rahisi sana kutambua akili iliyochanganyika na haja kubwa.
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
una akili ya Kima mtoto
JF imekosa
uelekeo,mnataka kutupangia tuongee nini na tusiongee kitu gani,udhaifu
wa chadema usiguswe?? Acheni kutukaririsha ujinga,siwezi kukariri
upumbavu yeyote anayevurunda tumseme
hata ukimwi kuna mahali ulipoanziachadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
Akiki yako sawa ya kikwete rais wa wachofu wa tz, shame upon you. Chadeama haitaanguka milele.
Ccm na ujangili wao mwisho utashuhudia live
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind
Mbona povu jingi we mtoto? Hujapata wa kukukuna jioni ya leo? Jipitishe pitishe barabarani, hutakosa basha.
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Khaa!! Naomba unijuze ziwa mashariki liko wapi? :bored:Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
Khaa!! Naomba unijuze ziwa mashariki liko wapi? :bored: