CHADEMA agenda zenu za maendeleo ziko wapi siku hizi?

Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?

1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.

Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.

Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.

Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.

Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Waliovuruga mfumo wa elimu waliipeleka kaburini nchi hii. Kila siku idadi ya wajinga inaongezeka kwa kasi mno!
 
Kinacho wapomza chadema ni sifa kama huyo mayor wa kugawa majina ya mitaa anapenda sifa kupitiliza maujiko. Watu wanao fikiri chadema walishaondoka siku nyingi waliobaki ni wa pay check walipwe posho za ruzuku wamshangilie mbowe biashara ndio imeisha hakuna tena watu wenye bongo chadema
 
Umenifumba mdomo kwa udikteta wako niki jaribu kushauri, kukosoa au kuongea unaninyamazisha kwa bunduki alafu leo unakuja hapa jukwaani unaulizia ujinga gani?? Shame on u
 
Rais dictator unamjua? ama umakaririshwa?
 
Namjua si yule mzinzi mtekaj muuaji na mminyaji wa uhuru wakujieleza! [HASHTAG]#cryng[/HASHTAG] blood of [HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ben[/HASHTAG] [HASHTAG]#lisu[/HASHTAG]
Rais dictator unamjua? ama umakaririshwa?
 
Lissu yupo hospitali baada ya watu wasiojulikana kutaka kumuua. Kabla ya kuumizwa alijitahidi kutafuta ushindi wa kisiasa kupitia acacia, na mabeberu. Ila leo hii ana hasara mbili. Kwanza yupo hospitali anaugulia maumivu na huku serikali imeshinda ile vita aliyokuwa yeye yupo upande wa adui yetu, na huyo adui kageuka kuwa rafiki yetu. ACT nao wamepoteza wananchama zaidi ya kumi.
Wapinzani wanazidi kuumia tu, je maumivu yao yataisha lini?
 
Back
Top Bottom