CHADEMA agenda zenu za maendeleo ziko wapi siku hizi?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?

1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.

Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.

Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.

Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.

Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
 
Najua kwenye fikra zako au kwa kulinda mkate wako umeamua kujitoa Akili.
Ukadhani watu bado wanapenda sana chama cha mauaji kwa dhati kabisa kutoka moyoni.
Chadema unataka wapambane na Rushwa kinamnaipi wakati Msigwa kashushwa jukuani kabla ajaongea maneno yote aliokua nayo moyoni?
Unajua alitaka kuongea kuhusu nini?
Rushwa imealalishwa kwa Bashite na Sizonje tu, wanapiga hela na wanaotakiwa kuhoji ni Akina Lisu ndio wamesha elekezewa SMG ya kivita.
 
Hii ni hoja tu yangu binafsi
 
Unatoa USHAULI mzuri namna hiyo katika jalala lenye harufu chafu maradufu?!
 
hayo ya chama chako yako wapi? zaidi ya mateso, uonevu, ukandamizaji wa demokrasia, nk
 
Unevu si hoja ya Maendeleo ni hoja ya kulalama na kufeli maisha. Ukiona mtu analala ameonewa ujue akili imefika mwisho. Hebu onesheni ushujaa wenu kwa mambo ya msingii. Mpaka wa demokrasia unaishia kwenye uhuru wa kuchagua na kuchaguana tu. Hakuna kipimo kingine. Vingine ni uvunjifu wa amani.
 
Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?

1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.

Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.

Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.

Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.

Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.

Tatizo la baadhi ya Watanzania hasa chadema, Wazungu hawawaelewi, hata maana ya FBI hawaijui, inasikitisha sana, eti Kiongozi mzima anasema FBI waje TZ, inasikitisha sana!
 
Agenda zao si walisema aliziiba Magufuli ama umesahau? Magufuli anatimiza ilani ya ukawa hivyo wao kwasasa wapo shwari maana agenda zao zinatimizwa
 
Sasa yule mtunga agenda wao amekufa si atunge zingine tena mpya?
 
Back
Top Bottom