Ndege yupi? Hili jina ni kubwa sana sina hakika kama ni wa ukoo huo, nakataa kabisaaa!!!! wewe lazima utakuwa "kibhereke"Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Utazisikiaje hali ya kuwa unawazuia kusema?Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Unapoteza mda ndg!Natamani wanipe ajira niwatungie hoja. Maana wana hoja mufirisi
Natamani wanipe ajira niwatungie hoja. Maana wana hoja mufirisi
Paschal ndugu yangu utaumiza kichwa na hawa watu. Hawana agenda yoyote Zaidi ya kudumisha mila ya kwenda likizo kula Kisusio na Mbege.Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Hakuna maendeleo bila uhuru wa kweli
Hii inahusiana vipi na siasa za Tanzania? Rais wa wanyonge anataka tuwe wanyonge then unalaumu tukila mchicha?Uhuru bila mipaka ndio maana ulala bar. unaacha mke wako anakula mchicha na watoto saba umemzalisha. Na kama ufanyi hivyo tafsiri ni kuwa haupo huru.
Inamaa haupo huru hata nyumbani kwako mwenye. Maana nyingine uhuru lazima uwe na mipakaHii inahusiana vipi na siasa za Tanzania? Rais wa wanyonge anataka tuwe wanyonge then unalaumu tukila mchicha?
Uhuru na uwajibikaji sasa hapa hakuna uhuru hakuna uwajibikaji tunaenda kama lori bovuInamaa haupo huru hata nyumbani kwako mwenye. Maana nyingine uhuru lazima uwe na mipaka