CHADEMA agenda zenu za maendeleo ziko wapi siku hizi?

CHADEMA agenda zenu za maendeleo ziko wapi siku hizi?

Uhuru na uwajibikaji sasa hapa hakuna uhuru hakuna uwajibikaji tunaenda kama lori bovu

Watu wanawajibishwa hajatokea. Keko pamejaa watu kwetu. tumbutumbu ipo kila kona. Utaka wajibu upi tena? Uhuru upo na mipaka ili usimsumbue mwenzako.
 
Kweli haw chadema wameishiwa mbinu wamebaki kutafuta kiki kwenye matatizo . Kuropoka tu ndo kilichobaki chadema. Lkn wakumbuke mambo wanayoyafanya nikutowesha amani tuliyonayo. Sasa ni nguvu moja hapa kazi tu.
 
Watu wanawajibishwa hajatokea. Keko pamejaa watu kwetu. tumbutumbu ipo kila kona. Utaka wajibu upi tena? Uhuru upo na mipaka ili usimsumbue mwenzako.
Kuna mwenye vyeti feki amekalia kiti. Mahakama ya nafisadi inakesi?
 
Hebu sema ni kesi gani moja tu imefunguliwa

Mimi sijui. Sidhani lile jengo lipo na wafanyakazi harafu halina kesi kwa utwala huu wa mwendo kasi. Jaji mkuu anaweza kutumbuliwa
 
Yetu macho na masikio ila kiukweli jamaa baada ya Uchaguzi ule Mvuto umepotea haiwezekani Mwenyekiti wa Chama ndiyo awe muuguza mgonjwa ng'ambo ya nchi ilhali alitakiwa apokee taarifa toka kwa familia juu ya mgonjwa.Pia haiingii akilini chama hakinamtu wa kuweza kumhudumia mgonjwa kikamilifu mpka awe M'kiti?
Napatwa mashaka makubwa mno hasa ya "kumficha" shahidi mkuu ambaye alikuwa anaijua hadithi ya "kufuatiliwa" na "watu wabaya" na akaliona gari la wabaya linawafuata mpka wanaingia malangoni,yeye asishtuke akaamua kuiweka gari kwenye egesho,asipate hata akili ya "kuongeza mafuta" wakati mfyatuaji kashuka na silaha mpaka anainyanyua na kuilenga tairi na kumimina risasi ambazo yeye hazikumgusa napatwa na mashaka kweli.
Nazidi kupatwa na mashaka yaani mpaka anaenda hospitali na majeruhi na nadhani yeye ndiye aliyewapigia simu viongozi kiasi cha kubeba nguo za majeruhi na kuwakabidhi sasa sijui nani aliyemgundua dereva kiasi cha kusema naye ni mgonjwa na anatakiwa akatibiwe nje kwa maana ya "AKILI IMEVURUGIKA" na nani anayegharamia?
Napatwa mashaka kutaka wapelelezi wa nje kwa maana ya kuichanganya Serikali kwamba "vyombo vyetu haviaminiki" ambapo hao wa nje hata wakija watategemea vyombo vyetu nia hapa isije kuwa mpango madhubuti kwamba wangemtoa dereva ahojiwe na wa nje kama hawajaja maana yake HAWATAMTOA AHOJIWE naona ni TRICK ya kushangaza hii..
Napatwa na mashaka isije dereva anajua mambo mazito kwamba ile siku ilikuwa ya kupokea ripoti almasi&tanzanite kwamba tukio lilitengenezwa ili MEDIA ziwe "covered "na shootings kuliko ile ripoti?
KIUKWELI chama inabidi kibadilike..NAPATWA MASHAKA KWELI.
 
Kwanza muwaambie uma agenda ya serikali ni nini. chadema yao ni katiba na NEC huru. Mengine baadaye.
Kwa sasa inaonekana kama vile agenda kubwa ni kutawanya watu wasiojulikana!
 
Mimi sijui. Sidhani lile jengo lipo na wafanyakazi harafu halina kesi kwa utwala huu wa mwendo kasi. Jaji mkuu anaweza kutumbuliwa
Ndio kitu tunajiuliza we unajifanya kutetea tukisema serikali inafanya madudu ndo uelewe sasa
 
Itoke wapi nao siku hizi ni zaidi ya Bongo movie maana wanaumizana kikweli wapate tukio la kuonekana
 
kwanza jiulize ni serikali ya chama gani inayokusanya kodi na ukitaka kujua agenda ya maendeleo ya chadema nenda kwenye Almashauri zinazoongozwa na chadema kwa mfano Arusha
 
kwanza jiulize ni serikali ya chama gani inayokusanya kodi na ukitaka kujua agenda ya maendeleo ya chadema nenda kwenye Almashauri zinazoongozwa na chadema kwa mfano Arusha

Hivi umemosama nilichoaandika?
 
hujui hata agenda za serkali ya awamu ya tano! upo nchi gani?
 
Si ndo uzuzu huo? Uzalendo sio kumtetea rais ni kusimama kwenye haki

Haki haipatikani barabarani chombo pekee cha haki ni mahakama ukishindwa huko utapata haki mbinguni kwa muumba wako.
 
Back
Top Bottom