Kweli kabisa ngoja ni signout. Someone who remind you time. Is the best friend ever. ASANTE
Mda wa kula kwenye sinia umefika......
Wahi utamaliziwa msosi na akina Polepole..........
Kweli kabisa ngoja ni signout. Someone who remind you time. Is the best friend ever. ASANTE
Baadhi ya MaCCM ni majinga sana. Badala ya kutatua kero za wananchi yanashindana na wapinzani ambao hata kushika bunduki hawajui
Kwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Hivi akili zako zinafanya kazi vizuri? hayo maendeleo unayotaka chadema wayaonyeshe kwa kutaka wasimshitaki makonda, wakati kuna watu wamefukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti fake, na wengine walibakiza miaka 2 kustaafu kwako unafikiri hiyo siyo agenda ya kupambana na rushwa, ila kama angetumbuliwa na malaika wenu kwa kosa hilo hilo ungemsifia sana malaika. thread yako ni kutaka kumtetea makonda. Kama miaka iliyopita chadema walijipambanua kwa agenda ya kukataa rushwa, hivi sasa kuna viongozi wangapi wa chadema waliokamatwa kwa rushwa?
Ujinga kufungu kesi amabyo unajua huwezi kushinda. Na ukishinda haina madhara kwa makonda. Try to be smart. Mkonda anatusaidia sana. Imapact yake kwa wananchi ni kubwa kuliko tuhuma zake. Hata kama angekuwa hajasoma na hakuna vielelezo vya kutosha katika technologia ya mwanzo ya kugundua vyeti feki. Na majina kwenye vyeti wala si issue issue ni kukutwana cheti feki na ujinga wa kujua sheria. Usikilize la kuambiwa fanya utafiti kwanza.
Mkuu CHADEMA yenye agenda za Maendeleo aliondoka nayo Dr Slaa hii iliyobaki ni ya ku fly to KIAKwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
Unajua kuchekesha sana, kwani hao waliofukuzwa kazi hawakuwa na impact kwenye jamii? Tanzania tunazalisha vijana walipoteza mwelekeo kiasi cha kuwa na mawazo ya double standards na kuona ni jambo la kawaida tu. ndio maana akinyanyashwa mpinzani na polisi tunafikiri ni jambo la kawaida tu,ila msukuma akifanyiwa yaleyale yanayofanyiwa wapinzani kila siku tunaamaki. Hivi kama angekuwa makonda ndio aliyeshambuliwa kama alivyoshambuliwa Lissu leo hao watu wasiojulikana wangeshajulikana.
umesoma bajeti kivuli?Hii ni hoja tu yangu binafsi
Hakuna cha ajenda hapa tunapambana na udikteta,toka uchwara hadi kamili!Sasa yule mtunga agenda wao amekufa si atunge zingine tena mpya?
Ni kama vile Lisu hana ndugu wala mke au yeyote mwana familia anae weza kutoa taarifa ya kutoka kwa madaktari,Yetu macho na masikio ila kiukweli jamaa baada ya Uchaguzi ule Mvuto umepotea haiwezekani Mwenyekiti wa Chama ndiyo awe muuguza mgonjwa ng'ambo ya nchi ilhali alitakiwa apokee taarifa toka kwa familia juu ya mgonjwa.Pia haiingii akilini chama hakinamtu wa kuweza kumhudumia mgonjwa kikamilifu mpka awe M'kiti?
Napatwa mashaka makubwa mno hasa ya "kumficha" shahidi mkuu ambaye alikuwa anaijua hadithi ya "kufuatiliwa" na "watu wabaya" na akaliona gari la wabaya linawafuata mpka wanaingia malangoni,yeye asishtuke akaamua kuiweka gari kwenye egesho,asipate hata akili ya "kuongeza mafuta" wakati mfyatuaji kashuka na silaha mpaka anainyanyua na kuilenga tairi na kumimina risasi ambazo yeye hazikumgusa napatwa na mashaka kweli.
Nazidi kupatwa na mashaka yaani mpaka anaenda hospitali na majeruhi na nadhani yeye ndiye aliyewapigia simu viongozi kiasi cha kubeba nguo za majeruhi na kuwakabidhi sasa sijui nani aliyemgundua dereva kiasi cha kusema naye ni mgonjwa na anatakiwa akatibiwe nje kwa maana ya "AKILI IMEVURUGIKA" na nani anayegharamia?
Napatwa mashaka kutaka wapelelezi wa nje kwa maana ya kuichanganya Serikali kwamba "vyombo vyetu haviaminiki" ambapo hao wa nje hata wakija watategemea vyombo vyetu nia hapa isije kuwa mpango madhubuti kwamba wangemtoa dereva ahojiwe na wa nje kama hawajaja maana yake HAWATAMTOA AHOJIWE naona ni TRICK ya kushangaza hii..
Napatwa na mashaka isije dereva anajua mambo mazito kwamba ile siku ilikuwa ya kupokea ripoti almasi&tanzanite kwamba tukio lilitengenezwa ili MEDIA ziwe "covered "na shootings kuliko ile ripoti?
KIUKWELI chama inabidi kibadilike..NAPATWA MASHAKA KWELI.
Sasa hiyo ndio ajendaOya Ushapata Noah?
Meaning?Fisrt thing! Love your Nation then Love your Gods
sawaMeaning?
Hilo ni genge la wahuniKwa kipindi kirefu sana nilikipambanua chama cha chadema kama muhimili wa kwanza wa kupambana na rushwa ukifuatiwa na washika dau wengine kama Takukuru na kadha wa kadha. Niliona chadema kama mwanga mpya wa maendeleo ya nchi hhi maskini. Nilitazama kama nchi inayotawaliwa na akili ndogo na Chadema akili kubwa.
Naomba kuuliza mlipotea wapi? Mimi naona mmekuwa na akili ya nyumba ndogo (side Chick) tofauti kabisa na dhima ya mwanzo. Shida ipo wapi? Wivu kwa watawala? Sera zimekwisha vichwani? Mtunga Agenda wenu amefariki dunia? au walopokazi wengi wamevamia chama? Au mnalipwa na Mataifa fedhuri kuvuruga nchi?
1.Kiongozi mkubwa kama Meya wa kinondoni kwenda kupeleka kesi mahakamani kupambana na makonda.
Who is Makonda by the way? Makonda ni mtu tu ambaye yupo kwenye boti ya makaratasi anasafiri kwa kasi hana muda na upumbavu. Kesho kibarua kikiisha atalima nyanya maisha yatamnyookea vizuri kabisa kama Diamondi anavyouza karanga. Lakini meya anapoteza muda wa kuhudumia watu, anapeleka kesi mahakamani kuongeza idadi ya kesi tu bila sababu ya msingi. Lakini Meya ajui kuwa pale alipo hawezi kumwajibisha makonda kwa namna yoyote ile. Aliye mteua anaweza kufutia hukumu pia kwa msamaha wa rais. Mahakama pale ni jalala unaweza kumshitaki mtu yoyote ata ambaye humjui na itatolewa maamuzi.
Yapo mengi sana ambayo hayana tija kabisa. Mfano Mwingine wa akili mbovu ni swali la kujiuliza. Je Rais Kennedy wa Marekani na Waziri Mkuu wa israel walivyouwawa Tanzania tulipeleka TISS kuchunguza?
FBI wameapa kulinda nchi ya yao. |Hivi LISU ni Mmarekani? au Alikuwa anatumika? Sasa FBI kipusa wao kapiwa risasi ndiowaje kuchunguza? Swala FBI linaibua mijadala mpana sana akilini mwa watu.
Tatizo la LISU ni kubwa sana na kuna uzembe ulifanyika kila mtu anajua. Tulijisahau sana hapo mwamzo. Mpaka hata ubalozi ya marekani hapa nchini ukashambuliwa, tunashuundia mlolongo wa watu kufa kwa risasi mara kwa mara, Usalama wetu na dunia kwa ujumla haupo sawasawa.Jirani zetu kenya kiongozi mkubwa week hii kauwawa. Tunasahau shambulio la Lucky Dube linafanana kabisa na tukio la LISU.
Huu ni Muda wa kushikamana sana kwa hili tuko la LISU. Nilitegemea CHADEMA wangekuja kuisimamisha Dunia kwa tukio la LISU. Hotuba ya Mbowe ya mshikamano ingeipa Chadema credit sana. Kuliko hivi sasa CHADEMA inavyoporomoka. Comment nyingi watu wamechanganyikiwa kabisa kwa hili tukio. Wengine wanahisi limefanywa na upinzani kuufitini utwala wa Mjomba. wengine wnawaza tofauti.
Nina Mengi ya kuongea ila nia yangu ni moja tu. Chadema mmepotea njia. Mnapoteza mvuto kwa kasi. na hii elimu bure ni jeneza lenu. Maana kwa mara ya kwanza kila mtoto wa Tanzania. anapata nafasi ya kumpanua jambo katika level ya elimu bure.
jibu hojaHilo ni genge la wahuni
Gia anganijibu hoja