PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

PreGE2025 SAU: CHADEMA, ACT Wazalendo wanatukwamisha na kutuchelewesha katika safari yetu ya kuingia ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sauti ya Umma

Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
40
Reaction score
24
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali

---
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kupitia Katibu Mkuu wake, Majaliwa Kyara kimedai kuwa vyama wenza vya upinzani ndiyo kikwazo cha wao kuingia ikulu.

Kyara amefika mbali na kuvitaja CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa ndiyo kizingiti chao kikubwa cha kutinga Ikulu kupitia uchaguzi mkuu.

Mjadala huo mzito umefanyika Machi 17, 2025 kupitia kipindi cha uchambuzi cha FRONT PAGE kinachorushwa kupitia Global Tv Online.

 
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, View attachment 3274002akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya ahadi nchi ya maziwa na asali



View: https://www.instagram.com/reel/DHS9MvPz2qQ/?igsh=emd6aDJoZTVtOGpv

Wanawakwamisha kuingia ikulu au wanawakwamisha kupata hela kutoka ccm?

Hiki chama chenu ambacho hakijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji Leo mnawaza habari za kuingia ikulu as if it is normal thing.
 
Wanawakwamisha kuingia ikulu au wanawakwamisha kupata hela kutoka ccm?

Hiki chama chenu ambacho hakijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji Leo mnawaza habari za kuingia ikulu as if it is normal thing.
Kumbe unajua, it is not a normal thing for everybody kuingia Ikulu!? Sasa mwambie Lissu and the gang wasijihangaishe!
 
Ni kichaa tu ndio anaweza kufuata vyama vilivyoanzishwa na CCM ili wanapofanya uharamia wao kwenye uchafuzi vinakuwa vya kwanza kukubali matokeo HARAMU.
Chama hakina hata wanachama 50 nchi nzima, kuna siku tulialikwa ofisi za RC Arusha na tume fake ya uchaguzi mpk nafika ukumbini nilikuwa sijui nawakilisha chama gani, wakati wa kusaini posho 200,000 ya kila mshiriki nikakuta jina langu limeandikwa chama cha SAU hata Mwenyekiti wake taifa simjui, nilicheka sn. Mkoa mzima wa Arusha hakuna mwanachama hata mmoja wa SAU na tulikuwa wengi mnapajikwa Mwenyekiti na Katibu 2 kila chama.
 
Back
Top Bottom