Mhe. Umebobea kwenye chambuzi, inafaa uwe msaidizi wa Tambwe. Kwa watu kama wewe maisha bora kwa kila mtz ni ndoto , mtaishia kupongeza hotuba ya JK bila kujua kinachoendelea kwa walalahoi, naamini hata Dowans ikilipwa mtakuwa mnaamka bungeni na kuipongeza serikali kwa kufanya uungwana wa kulipa ....,CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
akili rojorojo ,hahaaaah shule za kata ndio matokeo yake, mtu hawezi hata kujieleza kwa mstari mmoja.
umetumwa???
Thread kama hii,kampelekee kunduyo na basha wako.Mawazo yako utumbo mtupu,nyambafuuuuu.
Kumbe hii ndo difinisheni mpya ya usharobalo..:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
Maisha magumu unayafanya mwenyewe, kwani watakiwa kufanya kazi kwa bidii sio kutegemea vitu vya bure bure kwenye ilani ya CHADEMA, na wewe yaonekana unapenda vitu vya bure utao**wa shauri yako
Wimbo wako mzuri, njoo nikununulie vyombo vya muziki uanzishe bendi ya kuniburudisha nyumbani kwangu na mshahara nitakulipa uutakao
kipofu wewe ni vyema hata usiende hata kwa daktari maana atakwambia upofu wako hauponi...utakaa hivyo hivyo milele shwain!!duh....operesheni sangara bana
Mwambie msajili wa vyama vya siasa.CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka: Madaraka yapo CCM, unazungumzia madaraka gani
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi: Maslahi ya taifa yanaitaji upinzani wa kweli, sio jina for chk n blnce
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua: Maamuzi sahihi ni kukataa kuchanganyika na chama chenye mithili ya tawala CUF
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa: hili ni janga la Taifa. Hili lishughulikiwe na msajili. Udini upi?
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo: Walikuwapo bungeni kuwakilisha wananchi wanaosurport upinzani wa kweli
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni: Ueledi wao ni mkubwa sana, ila ukiishi sana dampo utaona pananukia. CCM hawawezi kushangilia swala lolote linalojenga upinzani wa kweli. Ukiona wanakushangilia sana, na wewe ni mpinzani ujue "Chama kimepoteza dira" Kolimba.
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
Hilo ni neno safi na zuri la kiswahili linalofaa kutumika kwa CDM, tafuta maana yake
nadhani utakua ni kibonde wa clouds,maana naye anamawazo mgando sana/CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :