CHADEMA acheni usharobaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA acheni usharobaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Feb 9, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
  1. Waroho wa madaraka
  2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
  3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
  4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
  5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
  6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni

  Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  duh....operesheni sangara bana
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Tafakari!
  Chukua hatua.
   
 4. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Thibitisha! Inaonekana kabisa uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo sana ndio maana unawaita CHADEMA masharobaro.. acha:blah:
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  umetumwa???
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sishangai watu kama wewe,ipo siku watanzania wataamka na kuwatambua wapenda madaraka na walaghai wa kisiasa,mmeinunua cuf znz sasa hivi mnaitumia kuvuruga upinzani bara,siku zenu zinahesabika
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapa inaonesha ni jinsi gani ulivyo na mambo ya kiswahili hata katika hoja za misingi, nomba maana ya hilo neno hapo
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Watu kama nyie ndiyo mnaofanya maisha ya watanzania yawe magumu sana.. Sasa wewe endeleo ila iko siku utapata akili na kujua kuwa chadema ndiyo mkombozi wako.
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hilo ni neno safi na zuri la kiswahili linalofaa kutumika kwa CDM, tafuta maana yake
   
 10. a

  arasululu Senior Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani weee ndo sufuria kabisaaaa! kwa mfano mrema eliatonga awe m/kiti wa kamati ya hesabu za serikali unategemea nini? na sisiemu wanataka hao ndo wakamate hvo vyeo ili waendelee kula nchi na kuna siri kubwa iko huko so wanaofia pipoozi pawa kuingia huko kwani watafichua uozo wao!!! unaweza danganya mtu au watu kwa cku kazaa tuuu ila hutoweza danganya cku zote!!! in GOD we trust
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CHADEMA ni wakandamizaji wa demokrasia na wenye ubinafsi wa hali ya juu, jukumu mlilo wapa hawaliwezi ndio maana wanatoka toka ovyo bungeni. Si ajabu hata mwanachama wao wakakutosa watu wa namna hii pindi watakapo pata madaraka
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hapo red: sisi tuliokosa wabunge wa CDM majimboni mwetu inatuuma manake hatushiriki kibunge kuikomboa nchi. WABUNGE WA CDM WANAWAWAKILISHA MASIKINI/LALAHOI KWA UJUMLA. wa CCM+CUF wanawawakilisha mafisadi na wahujumu uchumi kama wewe
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nakupongeza kwa maneno yako kuthibitisha kuwa CHADEMA ni waroho wa madaraka ! Wabunge wote ni sawa, soma katiba na kanuni za bunge !
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaa, jamaa hawana kitu bana. Walitoka jana ila baada ya muda mfupi wakarudi. Sasa hata kutoka kwao hakukuwasaidia kitu kwani Azimio la bunge sasa linawabana na hawana budi kuwashirikisha wengine, Bunge hoyeeeeeeeeeeeeeeee kwa kuona mbali
   
 15. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  umemaliza?
   
 16. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,091
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  hivi hapo nani mroho wa madaraka kati ya cdm na cuf...kwann cuf walazimishe wawemo katika kambi?
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maisha magumu unayafanya mwenyewe, kwani watakiwa kufanya kazi kwa bidii sio kutegemea vitu vya bure bure kwenye ilani ya CHADEMA, na wewe yaonekana unapenda vitu vya bure utao**wa shauri yako
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,650
  Trophy Points: 280


  Ndugu hayo ni majungu si hoja,hao wanaosinzia kila siku bungeni na utoro wa kuhudhuria vikao na hata jana viti kibao vilikuwa wazi ndio wanawakilisha? lakini angalia cdm 98% walikuwepo na itakuwa hivyo. sasa hapo nani anawakilisha wananchi! unajua kazi za wabunge weye au umeamua kuchonga tu humu:thinking:
   
 19. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Huo wimbo wa udini na ukabila hauuziki...jaribuni wimbo mwingine!!
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo ni CDM wenzao kwenye bunge lililo pita walikuwa wengi, mbona wakila Slaa na Zitto walipewa madaraka ? CDM ni waroho sana wa madaraka
   
Loading...