CHADEMA acheni usharobaro

Na huyo rais wako JK aliyemaliza hela kwenye mfuko wa Serikali kwa kutengeneza mabango yake ya campaign utamwitaje??? MBINAFSI NA MKANDAMIZAJI?? au wewe unamwona anakufaa..............jiangalie maisha yako yalivyo ya shida - na kama wewe ufisadi - angalia ndugu zako ..... angalia WATANZANIA walipofikishwa ........ nchi tajiri - watu maskini - TANZANIA TAJIRI - WATANZANIA MASKINI - kisa ufisadi - najua kauli zako zinaonyesha unauunga mkono malipo ya DOWANS - wake up!!!!!!! MUNGU AKUPE UHAI ILI CHADEMA WATAKAPOPATA MADARAKA UONE KAMA UTAKUWA MASKINI KAMA ULIVYO SASA.

Punguza jazba kijana , mbona CDM wote akili zenu zaonyesha zina walakini
 
Back
Top Bottom