figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Karibu sana.Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.
"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
Kupata huduma za kijamii siyo hisani kwa maana watanzania wanalipa kodi. Kwa hiyo kuwarudi kodi no lazima kwa kuwapatia huduma za kijamii kwa mfano madawa,elimu nkMbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.
"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
Kumbe ndio waandishi wa habari mnavyopika habari? uzuri tukio zima lilikuwa live TBC na amesema yupo tayari kurudi CCM baada ya kuzomewa kuhusu fedha za maendeleo ya bunge ambazo ameshindwa kueleza matumizi yake. Acha upotoshaji wote tumesikia live tukia kati yake na mkurugezniMbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.
"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye alikuwa mgombea wa UKAWA alipata kura mil 10 , hata ungekuwa wewe ungeipenda chadema mkuu ?huyu jamaa kadhalilishwa sn sijui kwanini jiwe anaichukia chadema hv
huyu jamaa kadhalilishwa sn sijui kwanini jiwe anaichukia chadema hv
wewe acha urogo milioni kumi katoa wapi acha upotoshaji.Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye alikuwa mgombea wa UKAWA alipata kura mil 10 , hata ungekuwa wewe ungeipenda chadema mkuu ?
nimemaliza !wewe acha urogo milioni kumi katoa wapi acha upotoshaji.
Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.
"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
Uchaguzi wa 2015 umeiacha CCM ikiwa na majeraha makubwa sana ya kisiasa yaliyosababishwa na chadema.huyu jamaa kadhalilishwa sn sijui kwanini jiwe anaichukia chadema hv
Uelewa wa wananchi ndio tatizo na yote hii ni kutokuwa na Elimu ya kutoshaKupata huduma za kijamii siyo hisani kwa maana watanzania wanalipa kodi. Kwa hiyo kuwarudi kodi no lazima kwa kuwapatia huduma za kijamii kwa mfano madawa,elimu nk
sio wewe tu ccm wote hawajaelewa ndio maana hakuna kupongezasijaielewa maana ya kauli ya huyu mbunge kabisa....