figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.
"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
Baada ya maneno hayo, rais Magufuli akaagiza Mkurugenzi amkomoe kwa kuoa dada yake.
"Mkurugenzi Juma nakueleza utakaa hapa, na wewe unaruhiswa kuoa wake wawili, hata wanne njia ni kumkomeshea huyu Mbunge Chacha kuoa hata dada zake atakuheshimu, ili uijenge amani ndani ya nyumba, unaruhusiwa wanne na nadhani Ryoba ana shida" -Rais Magufuli