Chacha Marwa(CHADEMA): Nipo tayari kuacha ubunge lakini unipe barabara

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,642
2,000
Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.

"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
62827bf2f8feddf7e9957d9f3129814f.jpeg

Baada ya maneno hayo, rais Magufuli akaagiza Mkurugenzi amkomoe kwa kuoa dada yake.

"Mkurugenzi Juma nakueleza utakaa hapa, na wewe unaruhiswa kuoa wake wawili, hata wanne njia ni kumkomeshea huyu Mbunge Chacha kuoa hata dada zake atakuheshimu, ili uijenge amani ndani ya nyumba, unaruhusiwa wanne na nadhani Ryoba ana shida" -Rais Magufuli
 
Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
791
500
Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.

"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
Karibu sana.
 
mkongongojo

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
210
250

Kupata huduma za kijamii siyo hisani kwa maana watanzania wanalipa kodi. Kwa hiyo kuwarudi kodi no lazima kwa kuwapatia huduma za kijamii kwa mfano madawa,elimu nk
 
okaoni

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
1,397

Kumbe ndio waandishi wa habari mnavyopika habari? uzuri tukio zima lilikuwa live TBC na amesema yupo tayari kurudi CCM baada ya kuzomewa kuhusu fedha za maendeleo ya bunge ambazo ameshindwa kueleza matumizi yake. Acha upotoshaji wote tumesikia live tukia kati yake na mkurugezni
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
28,915
2,000
huyu jamaa kadhalilishwa sn sijui kwanini jiwe anaichukia chadema hv
Niliwahi kuonya humu jukwaani zaidi ya mara moja, viongozi wa upinzani hasa cdm kuhudhuria hafla ambazo Magufuli atapata nafasi ya kuhutubia ni kujitafutia fedheha ya bei rahisi. Rais wetu ana nongwa ya wazi kwa cdm, kwani anajua ccm yake haina mvuto kama cdm. Na kila apatapo nafasi lazima aitumie kuidhalilisha ili kuipotezea mvuto kwa matumaini kwamba ccm itapata mvuto aonekane yeye ndio kafanikisha hilo.

Kwa hiyo kiongozi yoyote wa cdm kwenda kwenye mikutano ya ccm/Magufuli kwa kisingizio kupatwa miradi ya maendeleo ni upuuzi wa kiwango cha juu. Ieleweke Magufuli kwamba hawezi siasa za ushindani na hakuna maendeleo yoyote kwenye hizo ziara zaidi ya kumpatia Magufuli point za mezani kwa siasa nyepesi.
 
squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,777
2,000
Mbunge wa Serengeti kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) amesema yupo tayari kuachia Ubunge iwapo atapewa barabara.

"Mimi nipo tayari hata kuacha ubunge lakini unipe barabara, WanaCHADEMA wote sisi ni wa kwako, vyama vyote vya upinzani sisi ni wa kwako usitutupe Rais, tupo chini ya magoti yako," Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa akizungumza mbele ya Rais Magufuli leo, Septemba 6.
View attachment 859157
20180906_175821.png
 
Lugeye

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
1,688
2,000
Nimeshindwa kumuelewa magufuli alivyosema eti anajua mkurugenzi ndo anasimamia uchaguzi ndo maana wanampiga vita akamwambia mkurugenzi Chapa kazi,,
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
46,542
2,000
huyu jamaa kadhalilishwa sn sijui kwanini jiwe anaichukia chadema hv
Uchaguzi wa 2015 umeiacha CCM ikiwa na majeraha makubwa sana ya kisiasa yaliyosababishwa na chadema.
Option ya kwanza ikawa ni kuwapunguzia chadema umaarufu kwa kufungia vipindi vya bunge visiruke live ili mpinzani asijijengee umaarufu kupitia michango yake ya bungeni.
Option namba mbili, No mikutano ya siasa kwa wapinzani hadi 2020.

N.k ..
 
MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,261
2,000
Kupata huduma za kijamii siyo hisani kwa maana watanzania wanalipa kodi. Kwa hiyo kuwarudi kodi no lazima kwa kuwapatia huduma za kijamii kwa mfano madawa,elimu nk
Uelewa wa wananchi ndio tatizo na yote hii ni kutokuwa na Elimu ya kutosha
 
Top Bottom