Chabo sio nzuri!!!

kure11

Senior Member
Apr 10, 2011
110
26
Mimi ni mgeni naomba mnipokee,nafurahi kuwa sehemu makini na yenye watu makini. Nimepiga chabo kwa muda nikaona haina maana.
 
mla-chabo karibu sana, tunafurahi kusikia umeacha huo mchezo na sasa umeamua kuliwa chabo na walachabo uliowaacha wakiendelea kula chabo... kariiiiiibu sana
 
sasa ndugu mla chabo ungeanza na utambulisho kwanza af thread nyingine utupe habar za kula chabo na yaliyokutokea mpaka ukaamua kuacha kuchabo...najua utatupa stor
 
Karibu sana janvini na waambie wanaccm waje wasiwe wanakulachabo alafu wanalalamika kuwa hili janvi la chadema!!
 
Karibu sana, Hongera kwa kuwa mweredi, waambie rafikizo wafuate nyayo zako. Gd day!!
 
mla-chabo karibu sana, tunafurahi kusikia umeacha huo mchezo na sasa umeamua kuliwa chabo na walachabo uliowaacha wakiendelea kula chabo... kariiiiiibu sana

Asante,Du kumbe zmu yangu kuliwa chabo!!!!!
 
mla-chabo karibu sana, tunafurahi kusikia umeacha huo mchezo na sasa umeamua kuliwa chabo na walachabo uliowaacha wakiendelea kula chabo... kariiiiiibu sana

Asante, du kumbe zamu yangu na mie!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom