Chabo sio nzuri!!!

Chabo sio nzuri!!!

mla-chabo karibu sana, tunafurahi kusikia umeacha huo mchezo na sasa umeamua kuliwa chabo na walachabo uliowaacha wakiendelea kula chabo... kariiiiiibu sana

Asante,du kumbe zamu yangu!!!!
 
Karibu sana janvini na waambie wanaccm waje wasiwe wanakulachabo alafu wanalalamika kuwa hili janvi la chadema!!
Asante ndugu,
We Bulesi hujajua sisiemu ni mazuzu na hapa ni kwa great thinkers tuu,!!!!
 
Karibu sana, Hongera kwa kuwa mweredi, waambie rafikizo wafuate nyayo zako. Gd day!!

Asante kunikaribisha,nimewakaribisha ila ID zao hawajanipa,waweza kuwa mmoja wao.!!!
 
KARIBU SAAAAAANA......LKN SIJAKUELEWA,...ARE YOU TRYING TO SAY THAT JF HAINA MAANA AU HAINA MAANA KUTOJIUNGA JF?.....:drum::drum:
 
Bora umeachana na kula chabo JF maana tulipanga kukumwagia maji ya moto. Karibu sana.
 
namaanisha ni vizuri kuingia ndani na kuona kwa upana zaidi bila kusahau kuchangia kwani wana JF wanaheshimu sana mawazo binafsi ya watu hasa yale ya ki great thinkerz!!!!!!!!!nimeamini wanaochapo wanakosa mengi!!!!! karibuni JF JAmaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au unasemaje mkuu?
 
Karibu Kure11,hujambo hawajambo huko utokeapo?......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom