Chabo ama kuangua nazi ?

Ni ugonjwa mbaya sana huo wa deo (chabo) kuna mtu nilikuwa najua mitaa ya maskani ana ngeu kibao kila mara anakurupuliwa mwizi mkimkamata aah kumbe flan mnaanza kumgombolezea kuwa sio mwizi huyu ana maradhi yake.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…