Na kimvua hiki na baridi hii
jikoni , kwenye corridor au store ya ofisini wengine ni fasta kabla hawajatoka nje na wengine kwenye meza ya mapokezi au popote panapofaa
Ni kikombe cha kahawa na baridi hii huna haja ya kukaa chini na kuanza kupiga soga unakinywa wima tena fasta mwili unarelax mnoooo....!!!