Cha usiku

Cha usiku

Mbona kama hiyo nyama pori ni nyama ya kiumbe chetu pendwa aka mr pig??

Hahahahahaha umenivunja mbavu eti mr pig!!!!mwnywe nilikuwa naangalia kwa makini nikahic mshana anatuuzia tango pori aka chai coz mdudu hafichiki!!!!!
 
Katika wanyama wote walioumbwa, mr.Pig [emoji241] kaumbika kuliko woteee.

Kapewa na maftaaa, na nywele za kizungu na kamkia kafupi pale kwa nyumaaaaa.

Upate kachumbari, pilipili mezani na kakinywaji laini pemben yakooo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom