Cha usiku kitamu....!!!!

daah mkuu pole sana aisee, mimi usiku,bila nguna kwa tindikali mambo hayajaenda.,nafkiri ni mazoea tu,tangu tuko wadogo nyali ilikua mara moko tu kwa wiki, nguna ikawa inahusika sana.

Kwa maana hiyo ukila nguna ni lazima upate na tindikali ili usiote ndoto ama?
 
Kwa maana hiyo ukila nguna ni lazima upate na tindikali ili usiote ndoto ama?

Yaani nikipiga hiyo mixer ndoto haziji kabisa hata zikija ni zile unajikuta uko ufukweni mwa beach za Kingston Jamaica usiku na ma ras wamewasha moto wanagonga magitaa huku mnakula vindo
 
Kamsosi kanavutia ila mimi ni msukuma si mbaya nitafungulia kimywa wakat nasubiri msosi wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…