Asante mkuu ila kwa plate hii tuje wangapi?
Kachumbari kidogo basi!!
Ahsante kwa kunitamanisha!!!
Karibuni Wakuu
View attachment 134906
Smoke?
am starving mweh!
Hujalala? Karibu booze.
alaaah, kumbe mchuzi wa pweza unaweza ungwa na nazi?Na maharageeee.....au mchuzi wa nazi wa pweza
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yani nna njaa hapa nipo kutafuta chochote nitie mdomoni,
wats on the table?Hujalala? Karibu booze.
kuna watu waroho aisee duniani
alaaah, kumbe mchuzi wa pweza unaweza ungwa na nazi?
pole mkuu, umemoka sana nnam starving mweh!
hahah, ila wee umezidiiSio uroho bhana roho nayo ina sehem inatamani ati lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
aisee napenda sana mchuzi wa pweza, kila nikienda ferry pale lazima ninywe vikombe 7Weee usiombe utamu wake balaaaa...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
aisee napenda sana mchuzi wa pweza, kila nikienda ferry pale lazima ninywe vikombe 7
wanaweka kwenye thermos, oooh namaanisha supu ya pwezaHeeee vikombe 7 huo mchuzi wauzwa kwa vikombe? Watafta hatari weye shauri yako
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Karibuni Wakuu
View attachment 134906