Umeona eeehKweli aisee, Dona ndo mpango
unakimbilia chakula cha wenzio kwako hampiki?Natumia app ya jf, network ipo slow so picha ikawa haijaload nilivyoona title 'Cha usiku kitamu' halafu jukwaa jamii photos nikaja mbio nione picha itakayosadifu cha usiku.
Nikajua nitakuta watu wanafanya yao, nimekuta ugali.
Mpangilio tu unavutia asante Mshana jr
Nimeona anasema eti tukiendekeza misambwanda tutaota suguHahahah mshana-jr anatukataza tusipende misambwanda wakati yeye kuna thread aliileta kwamba Real men eat fleashy/ freshy