Cha Tarime hiki


nimecheka mpaka naumwa mbavu. Kama ni kweli basi ndo maana wanaenda jeshini wengi sababu ya kula undigested food with all nutrients and poisons combined plus blood as a catalyst.
 
Makomandoo gani wanapiga wake zao kila siku na kuwachoma visu?

Makurya ile jadi ya Kunywa Uharo wa Mbuzi uliochanganywa na Damu Unawaharibu akili.
Kuna jamaa alikuwa anaulizia kichorii nikawa simuelewi
 
Kuna jamaa alikuwa anaulizia kichorii nikawa simuelewi
Basi ndio ujue leo kuwa "KICHORI" ni Uharo wa mbuzi uliochanganywa na Damu.
Ni kinywaji maarufu sana Kwa WAKURYA na kina Bei kubwa km utakipeleka bado Ule UHARO WA MOTO. yaani fresh.
 
Mbona huyo jamaa anayekula matofali dizaini ya kifo cha mwizi ni kama Mze Wassira baada ya kushindwa kesi yake ya uchaguzi?
 
Leo Umeongea Point Sana

Respect Our Soldiers
 
mshana jr, tarehe 13 inakuwaga na upinzani sana, why?
 
Du! asavali uharo wa mtu unajua kala chipsi mayai... uharo wa mbuzi beberu anaekunywa mkojo wa mbuzi jike! puu!.. ndo mana wanawake wanaoana wao kwa wao...
 
mbona we mwenyewe kiazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…