Tarime: Ajinyonga kisa kukimbiwa na mke

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,744
Bwana Bwanga ambae inadaiwa alikuwa Maarufu sana mjini Tarime amejinyonga Hadi Kufa kisa Kukimbiwa na Mke na Watoto.

Haijafahamika mara Moja chanzo Cha Mke kumkimbia Bwana Bwanga.

===

MKAZI wa Mtaa wa Ronsoti, kata ya Nyamisangura katika Halmashauri ya Mji
Tarime, Charles Bwanga, amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake kwa kutumia chandarua wakati wa usiku wa Sikukuu ya Krismasi.

Imedaiwa na majirani kuwa huenda Bwanga ambaye ni maarufu mjini hapa, amefikia hatua hiyo ya kukatisha uhai kutokana na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke na Watoto.

Diwani wa Nyamisangura, Thobias Ghati, na mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye, walieleza kusikitishwa na kifo cha Bwanga ambaye alikuwa maarufu mjini hapa.

“Tumesikitishwa na kifo cha kujinyoga cha mkazi wa mtaa wetu huu wa Ronsoti. Inawezekana huenda alikumbwa na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke pamoja na watoto na kwenda kuishi mbali na yeye na kubaki mwenyewe.

Nipashe

===

My Take

Tuliambiwaga Wakunya ni jasiri sana ,imekuaje Sasa?

Wavaa suruali na Wana Sura za kiume Wanaongezeka ila Wanaume Halisi Wanazidi kupungua.
 
Mwamba hakujua raha ya kukumbatia na kukiss ingizo jipya .
 
Hapo haujaongezea nyama ya ngombe kavu na kachumbari yenye pilipili kwa mbali.
Wali+Maharage+Nyama kavu+Kachumbari ya uswahilini+Ndizi +mirinda nyeusi/fanta pineapple 🍍=UTAMU JUU YA UTAMU
Acha na kitu inaitwa msongo wa mawazo trust me ukiexperience hiyo kitu hata upewe nini katika hii dunia huto weza ona furaha ya maisha narudia tena usiombe yakukute ishia tu kusikia tu wengine.
 
Haka kamchezo inaelekea wakulya kamewanogea. Inasemekana mtumishi manispaa ya Sumbawanga (m) Rukwa alijitoa uhai siku chache kabla ya x-mass! Alijulikana kwa jina la Majura.
 
Kuna uzi ulizungumzia zama hizi wanaume wenzetu walio wengi wanaendeshwa na hisia .

Na hili nalo mkalitazame.
 
Bwanga yule mziba puncture kijiwe chake kinatizamana Nmb Tarime au mwingine?

Msongo wa mawazo afu kakimbiwa na familia pole
Pumzika kwa amani!
 
Waumini wa mapenzi ya mwanamke mmoja aka Ndoa.
Huwa nawambia familia sio hata jambo la maana ni mawazo tu, hapo angekua anajipigia tu bint za watu bila kuwatia mimba wala kuwaoa na akawa anabadilisha badilisha radha yote hayo yasingemkuta na asingefikiria kutuachia mzigo wa wanawake wote hawa peke yetu.
Kataa Ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom